Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia mwez wa tisa hivyo basi wale wa kanda ya ziwa wanaohitaji kujiunga na chuo hiki wakae mkao wa kula badala ya kwenda dodoma au dar sasa watasoma mwanza. Hayo yalisemwa na mkuu wa chuo hicho katika mahafal yaliyofanyika mwaka jana