Dodoma moja
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 307
- 182
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia mwez wa tisa hivyo basi wale wa kanda ya ziwa wanaohitaji kujiunga na chuo hiki wakae mkao wa kula badala ya kwenda dodoma au dar sasa watasoma mwanza. Hayo yalisemwa na mkuu wa chuo hicho katika mahafal yaliyofanyika mwaka jana
Mkuu, binafsi nimekupata. Ingawa nina mawili ya kusema 1. Imekuwaje habari ya Mwaka jana unaileta mwaka huu? 2. CBE wanatakiwa, kwa haraka iwezekanavyo, wafanyie kazi PR yao kwa sababu baadhi ya Wadau, nikiwemo mimi, ninatilia mashaka ubora wa Elimu wanayoitoa!
Ndugu wadau, chuo cha biashara(cbe) tawi la mwanza kuanza kutoa degree mwaka huu kuanzia mwez wa tatu kwani kwa kawaida chuo hiki huwa na intake mbili yaan wanaoingia mwez wa tatu na wanaoingia mwez wa tisa hivyo basi wale wa kanda ya ziwa wanaohitaji kujiunga na chuo hiki wakae mkao wa kula badala ya kwenda dodoma au dar sasa watasoma mwanza. Hayo yalisemwa na mkuu wa chuo hicho katika mahafal yaliyofanyika mwaka jana
Kwanza watafute campus ya kueleweka. Waache kubanana hapo katikati ya jiji, hawaoni wenzao Tanesco wamehama?
Nafikiri hilo ni la msingi hata wao wameliona kuhama ni muhimu mkuu!!!
Ukizingatia Mwz hakuna ushindani mwingine tofauti na Saut, bila shaka watafanya jambo la mbolea!

Kuna mount meru university nao wanacampus mwanza

Wana ushindani wowote? Campus ipo wapi?
Campus yao ipo maeneo ya kapripoent karib na chuo cha benk kuu. Wanatoa degree.