CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12

Mabweni mengi na majengo ya vyuo vikuu vingi yamechakaa sana, yanahitaji kubomolewa na kujengwa upya na kuwa ya kisasa. Kwa mfano SUA, mabweni ni machakavu na ya miaka mingi, yote yale yajengwe upya kuwa high rise ili yachukue wanafunzi wengi. UDSM pia yale majengo yamepitwa na muda na ni machakavu yarekebishwe na barabara zitengenezwe, hali ni mbaya kwa hivyo vyuo viwili vikubwa nchini.
 
Tuko vizuri sana
 
Sa
finsané
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Hahaa
Pole,vyuo wanafunzicwana boom. Na hela mkononi, huko shule halmashahuri itakukopa mpaka unakufa.
 
Unahoja nzuri ni Kweli
 
Unajua kidogo nimeanza kumwelewa huyu Kafulila,

Kama tutajenga Hosteli kwaajili ya CBE kwanini pia PPP wasijenge kwaajili ya shule za Kata au vyuo bidogo na vya kati?
Shule za kata na vyuo vya kati havijiendeshi kibiashara kuweza kulipa pesa za wawekezaji..shule na hivyo vyuo wanategemea fungu toka serikalini kujiendesha
 
Kwanini PPP wasitumie hizo hela kujenga kiwanda cha matairi ?
 
Hongera sana CBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…