CBE: PPP kujenga mabweni yatakayochukua wanafunzi Elfu 12

Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi jambo ambalo halihitaji fedha za Serikali.

Amesema miradi ya ubia inainufaisha zaidi serikali kwani inapata teknolojia mpya na za kisasa kutoka sekta binafsi na kusaidia uchumi wake kuendeshwa kisasa zaidi na kwa ufanisi.

Ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa chuo hicho kilichojadili utekelezaji wa mradi wa ubia wa ujenzi wa mabweni yatakayokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 12,000.​
“CBE imeonyesha njia, imetengeneza template|andiko ambalo vyuo vingine vinapaswa kuiga kwa kujenga mabweni kwa ubia bila kuomba fedha Toka hazina ,” amesema Kafulila.

Amesema mamlaka zote za serikali zinazotekeleza miradi mbalimbali ziangalie uwezekano wa kuhusisha sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi hiyo badala ya kusubiri fedha za serikali.

Amesema kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza ni vyema taasisi za serikali zikaingia ubia nazo ili kuharakisha utekelezaji wake na kuokoa fedha za serikali ambazo zingetumika.

“Kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza kwa teknolojia ya hali ya juu kuliko serikali basi apewe autekeleze ili tujenge uchumi wa kisasa ambao sekta binafsi ndiyo inanafasi kubwa ya kutengeneza ajira nyingi,” amesema

Ameipongeza menejimenti ya CBE kwa kuratibu mradi wa ujenzi wa mabweni hayo ambayo yatakapokamilika yataondoa uhaba wa makazi ya wanafunzi kwenye kampasi ya chuo hicho hapa jijini Dar es Salaam.​

Kafulila amesema serikali iliamua kuweka utaratibu wa kuweka miradi kwa ubia ili kunufaika na mambo manne ikiwemo kutekeleza miradi yake bila kutumia fedha zake au mikopo kutoka mataifa ya nje.

“Utaratibu wa ubia unaleta unafuu kwa serikali kwasababu miradi inajengwa bila kutegemea fedha zake lakini utaratibu huu wa ubia unafanya serikali ivute teknolojia ya kujenga baadhi ya miradi, teknolojia ambayo kwa kiasi kikubwa inapatikana sekta binafsi,” amesema

Amesema kwa utaratibu wa ubia serikali inanufaika na teknolojia ya kisasa ambayo inapatikana kwenye sekta binafsi na kupata fursa ya kuleta weledi kwenye taasisi zake kama CBE.

“Kwa mfano mabweni haya yatakapojengwa na kukamilika mwekezaji atalipa kodi kwa serikali lakini kama ingejenga yenyewe ingekuwa huduma tu na hakuna kodi ambayo serikali ingepata kwa hiyo utaratibu huu unainufaisha sana serikali,” amesema.

Mkuu wa chuo hicho, Proesa Edda Lwoga, amesema mabweni hayo yatakayojengwa kwenye kampasi kuu ya Dar es Salaam yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 2,728 hivyo kupunguza pengo kubwa la malazi kwa wanafunzi.

Amesema kwa sasa kampasi ya CBE Dar es Salaam ina jumla ya wanafunzi 12,000, ambapo kwa upande wa malazi kampasi ina majengo mawili tu ya bweni yenye uwezo wa kuchukua vitanda 160 pekee vya malazi kwa wanafunzi wa kike na kiume hivyo vinakidhi uhitaji wa malazi kwa asilimia 1.3 tu.

Mkuu wa chuo amesema mradi huo utakapokamilika unatarajiwa kupunguza changamoto ya malazi kutoka asilimia 1.34 iliyopo mpaka asilimia 30 ya mahitaji ya wanafunzi kwa bweni.​

View attachment 3101407
Prof Edna Luoga mkuu wa Chuo Cha CBE

“Hali iyopo imesababisha uhitaji mkubwa wa malazi ya wanafunzi kwa asilimia 98.6 hivyo wengi wanalazimika kutafuta malazi nje ya chuo kwa gharama kubwa, jambo linalosababisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama hizo,” amesema.​
Hongera CBE
 
Samia hana mpinzani
 
Hii ni nzuri sana kwa Taifa, bajeti ni kuduchu sana
 
Wewe siyo mgeni kwangu. Ninakufahamu vizuri sana tangu enzi za magufuli.
Sasa unapo kuja hapa na andiko la kipuuzi kama hili sioni ajabu yoyote toka kwako.

Hiyo PPP ni ngeni kwako. Ni wazi hujui chochote juu yake, au ndio kwanza unaanza kujifunza eneo hilo. Kafulila kagundua kitu gani kipya huko unachotaka asifiwe juu yake; na ni wapi nilipo mvunja moyo.
Nimeandika chochote kinachoonyesha kuwa PPP ni mbaya mara zote? Nimekujibu hivyo, kwa sababu ulicho andika hapo ni wazi hujui PPP inaweza kuwa na madudu gani ndani yake, kama ilivyo kwa mipango mingine yoyote. Wewe kwa kutojua chochote unarukia tu kusifu kitu usicho kuwa na uelewa nacho wa kutosha. Hizi elimu nusu nusu mnazopata miaka hii ni janga kubwa sana kwa taifa hili. Umesema 2018 unahitimu, inawezekana wewe ni zao la shule za kata.
Daaah
 
Kafulila huu ujanja kautoa wapi?
 
Najaribu kuwaza eneo lenyewe la CBE campus ya DSM na hostels zenye uwezo wa watu 12,000
Kwa nini. Umesahau kuna nyumba za NHC nyingi karibu na eneo hilo? Humo humo siku hizi wanaweza kupitishia habari za ubia na upigaji mwingi tu!
Upigaji ni kwenye mkataba.Vilio vya mikataba mibovu nchi hii naamini umewahi kuvisikia.
Jambo la kusikitisha ni kuona watu wanasifu tu bila hata kujuwa hizo PPP taratibu zake zipo vipi. Hii tabia ya kusifu tuuu, bila ya kujiridhisha na unachojuwa kuhusu jambo unalo sifia ni ujinga mkubwa sana.
 
Kwa nini. Umesahau kuna nyumba za NHC nyingi karibu na eneo hilo? Humo humo siku hizi wanaweza kupitishia habari za ubia na upigaji mwingi tu!
Jambo la kusikitisha ni kuona watu wanasifu tu bila hata kujuwa hizo PPP taratibu zake zipo vipi. Hii tabia ya kusifu tuuu, bila ya kujiridhisha na unachojuwa kuhusu jambo unalo sifia ni ujinga mkubwa sana.
Umenena vyema,mkuu
 
Mkurugenzi mkuu wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na sekta Binafsi (PPP), Bwana David Kafulila amevitaka vyuo vya umma nchini kutumia sekta binafsi kujenga mabweni/Hosteli na miradi mingine mbalimbali kwa ubia na sekta binafsi jambo ambalo halihitaji fedha za Serikali.

Amesema miradi ya ubia inainufaisha zaidi serikali kwani inapata teknolojia mpya na za kisasa kutoka sekta binafsi na kusaidia uchumi wake kuendeshwa kisasa zaidi na kwa ufanisi.

Ameyasema hayo leo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa chuo hicho kilichojadili utekelezaji wa mradi wa ubia wa ujenzi wa mabweni yatakayokuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 12,000.​
“CBE imeonyesha njia, imetengeneza template|andiko ambalo vyuo vingine vinapaswa kuiga kwa kujenga mabweni kwa ubia bila kuomba fedha Toka hazina ,” amesema Kafulila.

Amesema mamlaka zote za serikali zinazotekeleza miradi mbalimbali ziangalie uwezekano wa kuhusisha sekta binafsi kwenye utekelezaji wa miradi hiyo badala ya kusubiri fedha za serikali.

Amesema kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza ni vyema taasisi za serikali zikaingia ubia nazo ili kuharakisha utekelezaji wake na kuokoa fedha za serikali ambazo zingetumika.

“Kila mradi ambao sekta binafsi inaweza kuutekeleza kwa teknolojia ya hali ya juu kuliko serikali basi apewe autekeleze ili tujenge uchumi wa kisasa ambao sekta binafsi ndiyo inanafasi kubwa ya kutengeneza ajira nyingi,” amesema

Ameipongeza menejimenti ya CBE kwa kuratibu mradi wa ujenzi wa mabweni hayo ambayo yatakapokamilika yataondoa uhaba wa makazi ya wanafunzi kwenye kampasi ya chuo hicho hapa jijini Dar es Salaam.​

Kafulila amesema serikali iliamua kuweka utaratibu wa kuweka miradi kwa ubia ili kunufaika na mambo manne ikiwemo kutekeleza miradi yake bila kutumia fedha zake au mikopo kutoka mataifa ya nje.

“Utaratibu wa ubia unaleta unafuu kwa serikali kwasababu miradi inajengwa bila kutegemea fedha zake lakini utaratibu huu wa ubia unafanya serikali ivute teknolojia ya kujenga baadhi ya miradi, teknolojia ambayo kwa kiasi kikubwa inapatikana sekta binafsi,” amesema

Amesema kwa utaratibu wa ubia serikali inanufaika na teknolojia ya kisasa ambayo inapatikana kwenye sekta binafsi na kupata fursa ya kuleta weledi kwenye taasisi zake kama CBE.

“Kwa mfano mabweni haya yatakapojengwa na kukamilika mwekezaji atalipa kodi kwa serikali lakini kama ingejenga yenyewe ingekuwa huduma tu na hakuna kodi ambayo serikali ingepata kwa hiyo utaratibu huu unainufaisha sana serikali,” amesema.

Mkuu wa chuo hicho, Proesa Edda Lwoga, amesema mabweni hayo yatakayojengwa kwenye kampasi kuu ya Dar es Salaam yatakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi 2,728 hivyo kupunguza pengo kubwa la malazi kwa wanafunzi.

Amesema kwa sasa kampasi ya CBE Dar es Salaam ina jumla ya wanafunzi 12,000, ambapo kwa upande wa malazi kampasi ina majengo mawili tu ya bweni yenye uwezo wa kuchukua vitanda 160 pekee vya malazi kwa wanafunzi wa kike na kiume hivyo vinakidhi uhitaji wa malazi kwa asilimia 1.3 tu.

Mkuu wa chuo amesema mradi huo utakapokamilika unatarajiwa kupunguza changamoto ya malazi kutoka asilimia 1.34 iliyopo mpaka asilimia 30 ya mahitaji ya wanafunzi kwa bweni.​

View attachment 3101407
Prof Edna Luoga mkuu wa Chuo Cha CBE

“Hali iyopo imesababisha uhitaji mkubwa wa malazi ya wanafunzi kwa asilimia 98.6 hivyo wengi wanalazimika kutafuta malazi nje ya chuo kwa gharama kubwa, jambo linalosababisha baadhi ya wanafunzi kushindwa kumudu gharama hizo,” amesema.​
Bora wewe Kafulila unapiga kazi tu
 
Wewe siyo mgeni kwangu. Ninakufahamu vizuri sana tangu enzi za magufuli.
Sasa unapo kuja hapa na andiko la kipuuzi kama hili sioni ajabu yoyote toka kwako.

Hiyo PPP ni ngeni kwako. Ni wazi hujui chochote juu yake, au ndio kwanza unaanza kujifunza eneo hilo. Kafulila kagundua kitu gani kipya huko unachotaka asifiwe juu yake; na ni wapi nilipo mvunja moyo.
Nimeandika chochote kinachoonyesha kuwa PPP ni mbaya mara zote? Nimekujibu hivyo, kwa sababu ulicho andika hapo ni wazi hujui PPP inaweza kuwa na madudu gani ndani yake, kama ilivyo kwa mipango mingine yoyote. Wewe kwa kutojua chochote unarukia tu kusifu kitu usicho kuwa na uelewa nacho wa kutosha. Hizi elimu nusu nusu mnazopata miaka hii ni janga kubwa sana kwa taifa hili. Umesema 2018 unahitimu, inawezekana wewe ni zao la shule za kata.
Yaani unachuki binafsi na Mh. Kafulila. Pole sana. Ungejua unaongea na guru wa project finance na PPP wala usingehangaika kuandika hizo chuki zako. I know the ins and out ya all PPP.
 
EEEenHEEEeeee!
Eti 'guru'! Nchi hii tumepotea kwelikweli.
Guru hata huwezi kueleza kitu unabaki kutoa sifa tu kwa mtu?
Huna u'guru' wowote, nikitazama tu michango yako yote humu JF.
 
Yaani unachuki binafsi na Mh. Kafulila. Pole sana. Ungejua unaongea na guru wa project finance na PPP wala usingehangaika kuandika hizo chuki zako. I know the ins and out ya all PPP.
Kuwa guru wa project finance na PPP sawa na hongera kwa hilo. Shida ni kwamba PPP nyingi ni ulaji kwa urefu wa kamba zao eg Mlimani City. Soma report ya CAG
 
Shida ni kuwa enzi zile watalaamu walikuwa wache. Unajua best PPP inatakiwa iwe na mwanasheria mzuri na mhasibu mzuri, shida ya bongo kumkuta mtu ka combine vyote ni ngumu. Hivyo wengu hupigwa
 
Shida siyo wataalamu,shida ni uzalendo mkuu.
 
Una maana watumishi waliopewa dhamana kichwani ni kweupe.
Siyo hivyo, ni kukosa tu elimu sahihi. Mi siamini kusema kuna mtu haba akili, ni kukosa tu exposure ya jambo husika. Chukulia mfano Albert Einstein ambaye alikataliwa na mwl kwa kusema ni mjina, lakini kaja kufanya mambo mazuri. Kinachotakiwa ni kufanya capacity building kama alivyofanya Mzee Utouh alipokuwa CAG, aliona wakaguzi walikuwa vilaza akaanzisha mandatory capcity building, na exams juu yake leo angalia report za CAG zipo kiwango balaa
 
Wenye elimu sahihi mbona wako wengi tu na mimi ni mmoja wao ila mfumo wa kuteuliwa duh.
 
Back
Top Bottom