Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyakageni nmekusoma mkuu, ieleweke hivyo.Neno prospector halipo katika English. Usahihi ni Prospectus, a printed booklet advertising a school or university or giving details of a share offer. Imetokana na neno 'prospicere' maana yake 'look forward'.
Hii hatar had cbe unapata sup mh cjui ungekuwa Udsm km ungepona
imeuma enhe kaogeeee chaka la wauni hapo
Nyakageni nmekusoma mkuu, ieleweke hivyo.
Hii hatar had cbe unapata sup mh cjui ungekuwa Udsm km ungepona
REJEA comment yangu,cpo CBE ila najaribu kukutoa tongotongo wa kuja wewe na bila shaka unasoma EDUCATION.kwa mfano,wewe unayefanya coz hyo na anayefanya may be PROCUREMENT MANAGEMENT AMA ACCOUNTING nan zaid? remaind you,mwisho wa siku chuo ulichosoma sio issue,issue ni soko la ajira.karibu dogo ila futa hayo matongotongo machoni.
ungejua CBE wana link na wizara ya viwanda na wanaheshimika kuliko nyie
Tuko pamoja mkuu.yani mi nashangaa ujumbe wa hiyo post na coment za watu wala haziendani. Achen malumbano bana, asante mtoa uzi kwa kutukumbusha
Tuko pamoja mkuu.