unataka nini baada ya form six nijibu hili natakusaidia yaani unataka utakusoma kitu gani au kufanya nini mbele ya safari..
nataka nisome pharmacy kwa kutumia lakin nasikia huwezi bila kusoma physics lakin kwa chuo kama bugando niliona unaweza kusoma bila physics,lakin nkaambiwa ntaishia kusoma education wakat sikupanga na kuna watu wananishauri kusoma EGM,hata hiyo napenda lakin hofu kubwa ni ajira huko mbeleni na mkopo chuo.Kwa EGM ningependelea nisome science of economics and policy planning
PCB ...PCM ...ndio combination ambazo unachokitaka unatapata...
Vipi hizi comb credit zikoje..?
Na nini hasa unataka pharmacy au economics..?
Kama unataka phamarcy mie kwa kweli naona usome..PCB comb imebalance ntacross cheki kama CBG inaweza kukufavour.. kwenye hii issue ya pharmacy..
Kuhusu EGM ni comb nzuri hasa kwa issue za Economics na building economics B.COM ,project planning...
Bado nataka kujua unataka nini hasa ila kama bado ujafanya uamuzi PCB..au PCM ndio bado comb ambazo zitakupa wigo mkubwa sana..
Tuko pamoja..
mkuu basi naomba unisaidie kidogo kama ulivonieleza naweza kupata nini kwa EGM tafadhali unaweza ukaeleza kidogo kwa CBG nini naweza kusomea chuo angalau vinne,na kuhusu ufaulu wangu ni mzuri tu kwani sijapata chini ya C kwa somo hata moja nna C na B lakin PCB sidhani kama ntaimudu vizuri kwasababu physics sikuweka msingi mzuri.Asante
Samahani wote,naombeni msaada wenu kwa hili.Najiunga kidato cha tano mwaka huu na comb zote zimebalance za arts na science.Nataka kusoma CBG lakin watu wengi nnaokutana nao wanasema si comb nzuri ni bora nisome EGM.Naombeni mnisaidie jamani najua humu wako watu wengi waliosoma hizi comb labda wao wataongelea uzoefu wao na wamekutana na wengi waliopitia hizi comb.
CBG unaweza kusoma wildlife science, forest, environment science, chemistry, architecture, construction management, urban planning, .......
EGM economics, administration, human resources, building economics, architecture, construction management, urban planning, land management n valuation, agro economics n agribusiness studies, procurement, accounting, finance, marketing, taxation
kama unaeza ni bora ukakomae na PCB as future iko vizuri bt ukishindwa soma cbg as hata hiyo unaeza soma MD na pharmacy kwa baadhi ya vyuo!!!
ukiwa na DDD kwenye PCB unaeza soma MD as unakuwa na point sita bt ukiwa na DDD kwa cbg ni shida as utakuwa na cut off point ya nne instead of 6 ko kupata kozi ka MD ni shida as wanataka at least 5 na kuendelea na kwa cbg geog hawahesabu kwa hiyo kozi wakati phy inahesabiwa
mkuu basi naomba unisaidie kidogo kama ulivonieleza naweza kupata nini kwa EGM
Kwa ufaulu huu kwa nini unaogopa physics???na kuhusu ufaulu wangu ni mzuri tu kwani sijapata chini ya C kwa somo hata moja nna C na B
Nimekua nikijiuliza hasa kwa nini watu wanakua waoga sana kwenda kusoma hizi kombi za science!! Nimecheki moja ya posti zako hapo juu umesema unataka kusomea pharmacy, binafsi nakushauri sana usome PCB, na ukifanikiwa faulu hata hiyo pharmacy ni rahisi sana kuipata na zaidi ya yote utakua na nafasi nzuri sana ya kusoma medicine!!! hakuna kozi anayosoma mtu wa EGM au CBG mtu wa PCB ashindwe kusoma!! kama unadhani unaweza kusoma CBG why not PCB?? na ukumbuke the only difference ni uwepo wa physics!! mkuu acha uoga...chukua muda wako kaa tulia na fikiria tena kuhusu PCB!!lakin PCB sidhani kama ntaimudu vizuri kwasababu physics sikuweka msingi mzuri.Asante
CBG unaweza kusoma wildlife science, forest, environment science, chemistry, architecture, construction management, urban planning, .......
EGM economics, administration, human resources, building economics, architecture, construction management, urban planning, land management n valuation, agro economics n agribusiness studies, procurement, accounting, finance, marketing, taxation
Kwa uelewa wangu, mtu aliyesoma EGM anaweza soma kozi zote ISIPOKUWA medicine, engineering(japo kuna baadhi ya vyuo wanapokewa) na kozi nyingine za sayansi ambazo zinahitaji msingi (hasa wa advance) wa bios, chem na physics. kwa kifupi kozi zote za biashara, sheria na nyingine za social science anaweza soma!!
Kwa ufaulu huu kwa nini unaogopa physics???
Nimekua nikijiuliza hasa kwa nini watu wanakua waoga sana kwenda kusoma hizi kombi za science!! Nimecheki moja ya posti zako hapo juu umesema unataka kusomea pharmacy, binafsi nakushauri sana usome PCB, na ukifanikiwa faulu hata hiyo pharmacy ni rahisi sana kuipata na zaidi ya yote utakua na nafasi nzuri sana ya kusoma medicine!!! hakuna kozi anayosoma mtu wa EGM au CBG mtu wa PCB ashindwe kusoma!! kama unadhani unaweza kusoma CBG why not PCB?? na ukumbuke the only difference ni uwepo wa physics!! mkuu acha uoga...chukua muda wako kaa tulia na fikiria tena kuhusu PCB!! Je selection hazijatoka? umepangwa kombi gani?
tatizo letu waswahili tunahitaji ushauri lkn tumeshajichagulia nini cha kufanya. tunahitaji mtu anae ungana na mtazamo wetu, ikiwa ni tofauti basi hakieleweki. kitug
Samahani wakuu nahitaji mnisaidie juu ya futre ya HGE combination,
nafikiri umeridhika kwa majibu ya wadau wengineAsante sana mkuu.