CBG au EGM

CBG au EGM

Madogo mnadanganyana sana humu. Nadhani ni wakati wakongwe wa jukwaa turudi kuwasaidia. Tukiendelea kuwaacha hivi mtapotezana bila shaka.

Jambo ambalo uwa silipendi kwenye hili jukwaa ni ubishi kwa baadhi ya members. Hilo likirekebishwa basi tutashirikiana kwa ukaribu na mtaweza kujifunza mengi sana.
 
Hivi wale madogo akina oil sumu , al shabaab , Eshy nk bado wapo...???
 
Last edited by a moderator:
Madogo mnadanganyana sana humu. Nadhani ni wakati wakongwe wa jukwaa turudi kuwasaidia. Tukiendelea kuwaacha hivi mtapotezana bila shaka.

Jambo ambalo uwa silipendi kwenye hili jukwaa ni ubishi kwa baadhi ya members. Hilo likirekebishwa basi tutashirikiana kwa ukaribu na mtaweza kujifunza mengi sana.

Ni bora ukiona mtu kakosea(anamdanganya mtu) umwambie kuliko kusema tunadanganyana lakin hutoi ushauri,kwani ni kipi tumedanganyana?au waliotoa ushauri hapo juu wanakosea?au kuomba ushauri ndio kudanganyana kwenyewe?sasa nimsikilize yupi?anaesema tunadanganyana lakini hasemi kipi ni sahihi au yule anaenishauri na kunielekeza kwa nini amenipa ushauri huo?
 
Mkuu construction management & building economics znautofauti gani na je? Wote ni ma QS"QUANTITY SURVEY" nisaidie

for small scale project they are less more the same Qs...But in multi billions projects...Building Economists are Purely Qs and Contruction Managers remain as they are referred for project management mostly under contracting firms
 
Soma EGM ni multi purpose chuo utakuwa flexible kusoma chochote utakacho
 
Angalia juu na chini,A level mengi yanatokea na sometime mtu anashindwa kupata division one au two hivyo inambid kuanzia diploma lazima ujue hilo,soma CBG ukiwa na matokeo ya chini vyuo viko vya serikali unaweza enda soma kilimo,ualimu na hata mifugo ila kwa egm hakuna kitu kama hicho kingine hapa wengi watabisha ila watoto wa masikini kwenye kazi tuna shida sana soma ambacho utapata kazi ya serikali ili ujipange vizur au si hata kama ya serikali basi uwanja wa ajira uwe mpana kwako kwa hili nenda CBG maana utakua unahesabika ni mtu wa science ambapo ukienda chuo ukasoma kozi za science ajira azisumbui,nina watu wamemaliza procurement mwaka wa 3 huu wanasaka ajira,wangu huu ni ushauri kwako
 
Asante sana mkuu..
 
Back
Top Bottom