CBG, Mirambo Sec

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Naomben kujua juu ya combination ya CBG ktk shule ya sekondari Milambo tabora vp wanafaulu? pia kna walimu? kwani nahtaj kumuhamisha mwanaf kutoka Nyakato Kagera,msaada jaman ndg wana jf.
 
Mbali kote huko.
Mpeleke Ihungo tu hapo jirani, kama ni smart atachana sana.
 
m nmesma milambo pcm ile shule n open university iko pale tbr mjin waalim wapo weng tu halaf kuna uhuru wa kutoka nje ya shule so 2likua tunaenda kupga mapind nje kama kawaida anakarbishwa milambo men high school
 
msuli ni wewe mwenyewe usiangalie shule...
 
mie nimetoka nyakato mbona ni pazuri tena mwaka u cbg wote wamefaulu au unataka uhuru sana au ek ndo shida km ni pindi nyakato mbona pazuri 2?
 
m nmesma milambo pcm ile shule n open university iko pale tbr mjin waalim wapo weng tu halaf kuna uhuru wa kutoka nje ya shule so 2likua tunaenda kupga mapind nje kama kawaida anakarbishwa milambo men high school
Hahahahahah kweli bhana mimi pia nilisole nikapiga div 11 ya 10 miaka kadhaa iliyopita tulikuwa tunapiga pindi za kufa mtu pale opposit na uhazili,shule ya Kanyeye na maeneo kibao tu ikiwemo Boyz hahahah...Pia wali wa 200/= pale kwa Mama Mada ulikuwa haukauki yaani usiposhiba msosi wa Mzee Msengi unawahi Fasta kwa Mamam Nyari hahahah
 
kumbe babu msengi ni wa kitambo ee ila siku hizi wali jero kwa hadija mapindi kama kawa boyzia ha ha ha raha sana ulamboni #gwaksa mwandule
 
Nyakato kuna ubaguzi mno,yaani wasukuma wanatutenga sana sisi makabila mengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…