Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahah kweli bhana mimi pia nilisole nikapiga div 11 ya 10 miaka kadhaa iliyopita tulikuwa tunapiga pindi za kufa mtu pale opposit na uhazili,shule ya Kanyeye na maeneo kibao tu ikiwemo Boyz hahahah...Pia wali wa 200/= pale kwa Mama Mada ulikuwa haukauki yaani usiposhiba msosi wa Mzee Msengi unawahi Fasta kwa Mamam Nyari hahahahm nmesma milambo pcm ile shule n open university iko pale tbr mjin waalim wapo weng tu halaf kuna uhuru wa kutoka nje ya shule so 2likua tunaenda kupga mapind nje kama kawaida anakarbishwa milambo men high school
Nyakato kuna ubaguzi mno,yaani wasukuma wanatutenga sana sisi makabila mengine!