🚨 CC: Mwenyekiti, Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.

🚨 CC: Mwenyekiti, Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.

JaxenDL

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2022
Posts
1,118
Reaction score
2,581
-3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ?
-Whats the plan tupate ripoti yetu ?
-Inawezekana ripoti iwasilishwe
alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me.

Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
IMG_2506.jpeg
 
Raisi aliongeza siku 42, deadline ni April 3. Naona tutaambiwa tusubiri adi pasaka ipite
Report ya hiyo tume majawabu yanajulikana
Jumba bovu anaenda kuangushiwa Lissu na Chadema
 
Duh...hii ni dawa chungu. Inaweza kutuponya au kutuzamisha kabisa. Watawala wastuke. Waache mazoea. Hawaongozi watu wa 1960s.
 
Aliye sababisha tatizo hawezi kutatua tatizo.
Huyu bibi na ccm yake ndiyo waliouwa watu hapo October 29 ndo huyo aliyeunda tume.
Mtu anawezaje kuwa jaji kwenye kesi yake mwenyewe
 
Report ya hiyo tume majawabu yanajulikana
Jumba bovu anaenda kuangushiwa Lissu na Chadema
paka wapo nae wanashindwa kumfunga kengele na hawataweza. Paka ata akiwa peke yake na panya 100 still hawawezi.
 
Ngoja tuone alikua anafikiria nini wakati anasogeza kete zake kuunda tume.. game bado haijaisha ♟️
 
Report kwani ipi? na kama ipo mbona haitoki au walikuwa wanammezesha huyo Bibi aielewe kila dot na coma na nukta?
 
Back
Top Bottom