GE2025 CCK: Tutawashonea suti askari polisi, wale wazee wetu wastaafu tutawajengea nyumba mjini na vijijini

GE2025 CCK: Tutawashonea suti askari polisi, wale wazee wetu wastaafu tutawajengea nyumba mjini na vijijini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
CCK ikiingia madarakani itasimamia mchakato wa katiba mpya ambayo si kwa siasa pekee bali yenye kugusa maisha ya wananchi, akieleza kuwa uongozi uliopita muda wao umepitwa.

"Watu wameng'ang'ania maofisi, vijana wenye elimu wanahangaika, CCK tukiingia madarakani ni kuwaondoa hao na kuwapa nafasi vijana walete mabadiliko na wazee tutawajengea nyumba vijijini wakapumzike huko," amesema Mwaijojele na kuongeza:

"Tutawashonea suti askari polisi, wale wazee wetu wastaafu tutawajengea nyumba mjini na vijijini na vijana wasio na elimu tutawatengenezea mazingira mazuri" amesema mgombea huyo
Screenshot 2025-09-22 215854.png
 
Kampeni za kipindi hiki ni mwendo wa vichekesho tuu
 
Back
Top Bottom