Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Tatizo ni wanadini wenye njaa, wangemkatalia kuja kwao na propaganda za siasaMara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031!
Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan.
CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
nonsense,Mara Samia Suluhu Hassan aende kuombewa na Boniphase Mwamposa ambaye baadae anasema eti anamuona Samia kwenye Urais mwaka 2031!
Hatujakaa sawa Emmanuel Nchimbi yupo kwenye vikao vya wapentekoste akiwaomba wamuombee Rais Samia Suluhu Hassan.
CCM acheni kuchanganya siasa kwenye dini.
nonsense,
yaani kulipenyeza kanisa katoliki liingie ndani ya Chadema kupitia TEC ya Fr.Kitima kumeshindikana kabisa gentleman?
ila Lucy Michael na katekista Joseph Ludoviki ni watu na nusu aise.
kwahiyo,
na wewe Allen Kilewella unalipwa kwa porojo hii ?