Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Zitto anakwambia ni Gangsta republicCcm mpya ni genge la wahuni
Ccm ndo hampati hata asilimia 20. Mark my wordsSafari hii upinzani wana kelele wakisaidiwa na waliowatuma lakini hawana kura hata 20%
MTAMBO WA UCHOCHEZIKuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.
Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?
Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?
Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?
CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
Haku kosea kabisa mkuu Siunaona mtoto wa mjomba jame anavyo ongea kwa kiburiZitto anakwambia ni Gangsta republic
Kwa Ile bvr mliyoficha kwa jiranieeeeCcm ndo hampati hata asilimia 20. Mark my words
Mtajua hamjui mwaka huu!! DadekiiiKwa Ile bvr mliyoficha kwa jiranieeee
lenyuLisu ni mshindiView attachment 1611222
Kwa Ile bvr mlofunga jirani au kwa kura za kina Amstadam??Mtajua hamjui mwaka huu!! Dadekiii
Hata wanafunzi wanaona jinsi wazazi wao wanavyopata taabu kulipa ada kipindi hiki Cha miaka mi5 ,nao wanafunzi wanajambo lao28/10Wahanga wakubwa kwenye hii serekali Ni shule binafsi.
Taree 28 wanajambo lao.
Mama D una ushahidi na hili?Kuna watu wameshashindwa wanachofanya ni kuandaa vidumu vya petrol, visu na mawe
Waambie vijana wako wakapige kura warudi nyumbani kufuatilia matokeo ili hao waliojiandaa wabaki wenyewe huko mabarabarani
Mama D una ushahidi na hili?
Kwanini serikali inadeploy wanajeshi sehemu mbalimbali nchini tena mitaani kama kule visiwani Z'bara na Kigoma waziwazi?
Kwa haya yote yanayoendelea hata wewe akili yako yakutuna kuwa wananchi ndio wasumbufu? Hivi uchaguzi ukiwa wa haki bila mawakala kusumbuliwa, wananchi wakaachwa wasubirie matokeo katika vituo vyao tatizo ni nini? Mbona chaguzi zilizopita hakukuwa na hizi figisu figisu?
Yoye ya nini hayo kama wanaccm mnajiaminisha mgombea wenu atapata ushindi kwa kishindo?
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.
Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?
Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?
Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?
CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
Raha ya ushindi ushinde kihalali. Kwa udhalimu huu bado kuna mijitu itajitoa ufahamu kushangilia wakishinda. Pathetic!!Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.
Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?
Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?
Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?
CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
umepata wapi habari hiyo?mnajitisha tuCCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
Hawa jamaa sijui wanatuchukuliaje.Halafu wanataka wachaguliwe tena. Watu wanalala na njaa, wanaishi kwa hofu, halafu wawachague tena???!
Awaogope nani hawa videlaa, kwani hii nchi ni Yao??Hii nchi ni Yao? Baada ya Uchaguzi watakuwa wazururaji tu, hizo shule watazifutiaje usajiri?Kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanaenda kwa wamiliki wa shule/ vyuo binafsi kuwatisha.
Wanawaambia kuwa endapo ikibainika Lisu anaongoza kwa kura ktk vituo vya kupigia kura vilivyo jirani ama ndani ya taasisi hizo, basi taasisi hizo zijiandaye kushughulikiwa baada ya uchaguzi.
Eti kwamba itaonekana taasisi hizo zimepokea fedha toka Chadema ili taasisi hizo zitoe ushawishi kwa wanafunzi kumpigia Lisu kura. Jamani?
Lissu mwenyewe hana hata hela ya kampeni anapitisha bakuli kila mkutano. Atapata wapi hela ya kuhonga?
Wanawatia presha bure watu wa watu. Sasa wamiliki wafanyeje? Wanashughulikiaje suala kama hilo?
CCM mbona mmepaniki Sana??? Kwani lazima mshinde ninyi?
Watumbuliwe tuHawa jamaa sijui wanatuchukuliaje.