Hijja Madava, Ni propaganda tu sababu ni watu kuchoka kuburuzwa na kufanywa watoto, ajira, mishahara duni, hata wa vijijini hutumiwa fedha kidogo na hao hao wa mjini.
Hali ikiwa mbaya mjini vijiji navyo husuffer. Elimu inazidi kukua pia. Kudhani dk Slaa ndio siri ni ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba serikali inashirikiana na ccm kuiua Chadema? Serikali hii hii inayochukua 2,800,000 Kama PAYE kwenye mshahara wangu ndo inashirikiana na ccm kuua vyama vingine? au una maanisha serikali ya Rwanda?Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya
Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.
kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.
My take. Slaa kwa sasa ni CCM atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
Kweli ccm ni genge la wezi and incompetent individuals Kama akina slow slow,bashite and the likeHii mambo ya kuwaza kuangamiza mawazo ni tatizo lililoibua Corona.
Watu katili Duniani hua ni watu waoga sana kwenye kushindana kwa hoja.
Corona ni matokeo ya watu wachache wabinafsi wanaowaza kuitawala Dunia kiuchumi na kisiasa baada ya kufanikiwa kutawala vinchi vyao.
Baada ya CCM kutawala kwa nusu karne wanajisahau kuwa kizazi kilichopo hakiijui CCM kinafuata Sera na Fedha tu kwenye Chama chochote.
Kuhalalisha uhai wa CCM zaidi ni jambo gumu sana mana wenye chama wengi ni wazee na wapo kujaribu kuwarithisha watoto wao na marafiki zao ili kulinda Mali zao walizopora toka kwenye mashirika ya umma.
CCM hakuna wanachowaza kwa sasa zaidi ya hofu ya kutolewa madarakani utafikiri hicho chama kimeanzishwa na Mungu wakati anaumba dunia kumbe ni chama kama vyama vingine.
Tume huru ya Uchaguzi itatuongezea thamani ya ubinadamu wetu na utashi wetu.
Kukosa tume huru ni kuonyesha ulimwengu jinsi Haki inavyokanyagwa halafu tunamuomba Mungu atutendee mema ili hali tunatendeana dhulma ya wazi na inayohalalishwa kinyume cha Katiba na sheria tulizojiwekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu yako nini ?Hijja Madava, Acheni kumuhusisha Dr Slaa na upuuzi. Ndiye mwanasiasa bora wa Karne nje ya Baba wa Taifa, hutaki shauri yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia Dr slaa kaandika mkusanyiko wa insha anaita.kitabu cha kuiua chadema kilichofadhiliwa na ccm, kweli wazizi ni wasalitiNianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya
Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.
kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.
My take. Slaa kwa sasa ni CCM atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.
My take. Slaa kwa sasa ni CCM atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
Kuna mawili ambayo siyo sahihi, kama kayasema huyo kiongozi.
Mosi - sio kweli kwamba "CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua."
Juhudi za kukiua CHADEMA hazijakoma toka enzi za Mkapa, Kikwete na hadi sasa Magufuli. Wote walishindwa; "hawakuacha".
Pili, ndio, Dr Mihogo asinyimwe haki yake. Alifanya kazi nzuri akishirikiana na wengine ndani ya chama na kukifanya kiwe imara, lakini usaliti aliofanya ulimwondolea sifa zote katika chama.
Na kama angekuwa na sifa anazopewa, CCM isingesita kumtumia kukimaliza chama, kwa kutumia mbinu (reverse) ya zile alizotumia kukiimarisha.
Kuondoka kwake na chama kuendelea kuwa imara, ni alama tosha kwamba mchango wake haukuwa zaidi ya michango ya wengine.
Jambo la kujiuliza sasa: Je, Mashinji yeye atapeleka turufu gani CCM ya kuwamaliza kabisa CHADEMA?
CHADEMA ipo mitandaoni tu mkuu!!Hakuna mtu wa kukiua chadema hata wakinunuliwa wakina Lissu na Mbowe kwa sababu moja tu chadema imeshakuwa kwenye utamaduni wa maisha ya watanzania walio wengi na ilijengwa kitaasi hata siku mbowe akinunuliwa ajue atatukanwa vya kutosha na watu watamsahau kama dr slaa.
Ogopa sana Ideology uwa inakaa kwenye ubongo na inaenda zaidi kwenye damu. kitu kikishafikia apo kukiua labda ufanye mauaji kwa watu wake ila sio mfumo wanaotumia kununua na kutesa viongozi.
Tupo palepale mkuu wangu Joka Kuu...yeye na Dr.Kitila Mkumbo waliwahi kuhudumu ktk masuala ya ushauri wa chama.
Kamanda hadi sasa laana ya Dr.Slaa inawatafuna mnataka nini tena?Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya
Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.
kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.
My take. Slaa kwa sasa ni CCM atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
Laana ya Dr.Slaa inawacharaza kisawasawaUko sahihi kabisa. Maana kama siri ya nguvu ya cdm ni Dr. Slaa Leo hii hayuko cdm, huku cdm ikifanyiwa hujuma za wazi lakini haifi. Na huyo Dr. Slaa amekuwa akiandaliwa vipindi kadhaa lakini hana mvuto aliokuwa nao cdm. Ukweli ni kuwa cdm ni chama cha kizazi hiki, na ccm ni chama cha kizazi kilichopita, hakuna uwezo wa kizazi hiki kuendelea kukikubali chama cha kizazi kilichopita, na kuacha chama cha kizazi kipya.
Ni sawa ukute vijana wa sasa wanacheza na kuimba nyimbo za Ottu jazz, sikinde nk, kisha waache nyimbo za diamond,Alikiba nk. Ccm wanapaswa kujua wakati ni ukuta na sasa wakati hauko upande wao, hivyo watajikuta wanatumia nguvu kubwa na kufanya kila kitu wakidhani watakubalika, kumbe tatizo wao sio chama cha kizazi hiki.
Chama kilichokufa kifo cha mende? Kama kipo hai watuambie nani atagombea urais?Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya