Mliishamaliza kumlipia madeni yake aliyokuwa kaingizwa mkenge na dogodogo Delilah?Kamanda hadi sasa laana ya Dr.Slaa inawatafuna mnataka nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
CDM kilikuwa chama cha wasomi hapo zamani. Lakini sasa wote wameondoka na kujiunga na CCM!CDM ni chama cha wasomi/ uwez kukiangamiza labda ACT na tuvyama tuingine TWA wasakatonge.
Sio kwamba ana hofu ila anakupa ukweli kwa sasa hamna watu wenye uwezo kisiasa kama Dr Slaa. Mpo mpo tu na mnazidi kupwaya.Hofu yako nini ?
Badala ya kupambana Na maendeleo mnapambana kitu msichoweza pambana nacho.Nianze kwa kuwatoa hofu dhidi ya corona virus ila niwasihi kufwata maagizo ya wataalam wa afya
Wakuu juzi nilibahatika kukutana na mmoja kati ya wakubwa wa chama cha mapinduzi mkoani Arusha katika stori mbili tatu alinambia kuwa moja ya kazi ngumu ambayo CCM na serikali inakaribia kutushinda ni kuiangamiza CHADEMA.
kasema kuwa CHADEMA kiliachwa kikajijenga sana hivyo imekuwa vigumu mno kukiua alisema pia kuwa moja kati ya viongozi waloisuka CHADEMA ikaimarika ni Dr.Slaa.
My take. Slaa kwa sasa ni CCM atupe mbinu alizotumia kukijenga chama hiki ili tuitumie kukiangamiza
Imebaki miamba ccm imenunua mizoga isiyo na tija badala ya Kununua wapiga kura wananunua magarasa kama waitara,molel,calist,karanga hadi sasa hakuna chuma chochote kilichoumizwa kimekubali kuusujudia msalaba,CDM kilikuwa chama cha wasomi hapo zamani. Lakini sasa wote wameondoka na kujiunga na CCM!
Kila zama na kitabu chake,siasa za Dr slaa zilifaa zama za jk hizi zinataka MTU strong asingewezaSio kwamba ana hofu ila anakupa ukweli kwa sasa hamna watu wenye uwezo kisiasa kama Dr Slaa. Mpo mpo tu na mnazidi kupwaya.
Ye mwenyewe keshajifia kama wassira,amuuzie mungu jiwe atapata Pesa mingi sana Pesa zipo ni bidii yako tu kuusujudia msalabaNasikia Dr slaa kaandika mkusanyiko wa insha anaita.kitabu cha kuiua chadema kilichofadhiliwa na ccm, kweli wazizi ni wasaliti
Kipi kilichotangulia Kati ya slaa na cdm,
Mtumie slaa awasaidie kuijenga ccm ya wazee kuliko kutegemea polisiSio kwamba ana hofu ila anakupa ukweli kwa sasa hamna watu wenye uwezo kisiasa kama Dr Slaa. Mpo mpo tu na mnazidi kupwaya.
Japokuwa mimi sina kadi ya CCM ila najua ile ni taasisi kubwa iliyosimika mizizi. Na inajua kila mbinu za medani za kisiasa.Hutakiwi kuwashauri kabisa.Mtumie slaa awasaidie kuijenga ccm ya wazee kuliko kutegemea polisi
Japokuwa mimi sina kadi ya CCM ila najua ile ni taasisi kubwa iliyosimika mizizi. Na inajua kila mbinu za medani za kisiasa.Hutakiwi kuwashauri kabisa.
Unachotaka kusema polisi ndio wanawasaidia kutekeleza ilani ya chama chao,kwa kudhibiti rushwa kujenga sgr,kufufua reli ya zamani,kujenga daraja la busisi elimu bure moaka form four ,kujenga JNHHP ,vituo vya afya 364 na hospital za wilaya 70. Kama ni hivyo upo sawa. Maana polisi lazima wakamate wanaohujumu ilani ya CCM isitekelezwe.Mbinu zipi zaidi ya kutegemea polisi ambao nao wameshindwa,hii ccm ya kina Pole pole, waitara,bashite,bashiru hivi kuna mwenye mbinu pale.Watu wasio jua hata mbinu za kuuwa upinzani badala ya kutumia akili wanatumia nguvu. Ccm kama taasisi ilishakufa na MWALIMU.chama kinachobebwa na dola badala ya Hoja utasema vipi taasisi.Je siku wakichokwa kubebwa Na polisi watasimama vipi sasa
Kwa hiyo Dr Slaa ni bora kuliko Jiwe ?Hijja Madava, Acheni kumuhusisha Dr Slaa na upuuzi. Ndiye mwanasiasa bora wa Karne nje ya Baba wa Taifa, hutaki shauri yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,Unachotaka kusema polisi ndio wanawasaidia kutekeleza ilani ya chama chao,kwa kudhibiti rushwa kujenga sgr,kufufua reli ya zamani,kujenga daraja la busisi elimu bure moaka form four ,kujenga JNHHP ,vituo vya afya 364 na hospital za wilaya 70. Kama ni hivyo upo sawa. Maana polisi lazima wakamate wanaohujumu ilani ya CCM isitekelezwe.
Hofu ipi? Yaani uibe usikamatwe,umchanie askari sare usikamtwe, utukane usikamatwe, hamna nchi ya hivyo.Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,
Siasa mnalazimisha sio ushabiki kama mnavyodhania. Sio kama Simba na Yanga, hata kama timu mbovu utakomaa kuishabikia.Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,
Hijja Madava, Acheni kumuhusisha Dr Slaa na upuuzi. Ndiye mwanasiasa bora wa Karne nje ya Baba wa Taifa, hutaki shauri yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA bado ina ideology?Hakuna mtu wa kukiua chadema hata wakinunuliwa wakina Lissu na Mbowe kwa sababu moja tu chadema imeshakuwa kwenye utamaduni wa maisha ya watanzania walio wengi na ilijengwa kitaasi hata siku mbowe akinunuliwa ajue atatukanwa vya kutosha na watu watamsahau kama dr slaa.
Ogopa sana Ideology uwa inakaa kwenye ubongo na inaenda zaidi kwenye damu. kitu kikishafikia apo kukiua labda ufanye mauaji kwa watu wake ila sio mfumo wanaotumia kununua na kutesa viongozi.