CCM acheni kuwaumiza watu! Mtangulizeni Dr. Slaa katika vita ya kuiangamiza CHADEMA

Hivi Dr mihogo bado balozi? Kama bado balozi anaiwakikisha nchi wakati gani?

Inawezekana kazi moja wapo ya mabalozi ni kuwa wakala wa ccm.
 
Badala ya kupambana Na maendeleo mnapambana kitu msichoweza pambana nacho.
Upinzani unauliwa Kwa kutatua shida za watz
 
CDM kilikuwa chama cha wasomi hapo zamani. Lakini sasa wote wameondoka na kujiunga na CCM!
Imebaki miamba ccm imenunua mizoga isiyo na tija badala ya Kununua wapiga kura wananunua magarasa kama waitara,molel,calist,karanga hadi sasa hakuna chuma chochote kilichoumizwa kimekubali kuusujudia msalaba,
Ushamba mzigo umekuja mjini MKubwa ndo ushindane na waliozaliwa mjini?Huwezi uuwa upinzani Kwa kuufanya adui,wala polisi hawatoweza wasaidia.Ukitaka kuuwa upinzani tatua shida za watz tatua njaa,afya,Kilimo, elimu ndio vimgusavyo mtz na sio ndege, SGR, Dodoma, chato kwann upinzani usiwe imara?
 
Sio kwamba ana hofu ila anakupa ukweli kwa sasa hamna watu wenye uwezo kisiasa kama Dr Slaa. Mpo mpo tu na mnazidi kupwaya.
Kila zama na kitabu chake,siasa za Dr slaa zilifaa zama za jk hizi zinataka MTU strong asingeweza
 
Nasikia Dr slaa kaandika mkusanyiko wa insha anaita.kitabu cha kuiua chadema kilichofadhiliwa na ccm, kweli wazizi ni wasaliti
Ye mwenyewe keshajifia kama wassira,amuuzie mungu jiwe atapata Pesa mingi sana Pesa zipo ni bidii yako tu kuusujudia msalaba
 
Mtumie slaa awasaidie kuijenga ccm ya wazee kuliko kutegemea polisi
Japokuwa mimi sina kadi ya CCM ila najua ile ni taasisi kubwa iliyosimika mizizi. Na inajua kila mbinu za medani za kisiasa.Hutakiwi kuwashauri kabisa.
 
Vipaumbele vya ccm ni kupambana Na upinzani ambao nao wameushindwa kuliko kupambana Na shida zetu,ambazo ni rahisi kuzitatua ili upinzani ufe
 
Japokuwa mimi sina kadi ya CCM ila najua ile ni taasisi kubwa iliyosimika mizizi. Na inajua kila mbinu za medani za kisiasa.Hutakiwi kuwashauri kabisa.

Mbinu zipi zaidi ya kutegemea polisi ambao nao wameshindwa,hii ccm ya kina Pole pole, waitara,bashite,bashiru hivi kuna mwenye mbinu pale.Watu wasio jua hata mbinu za kuuwa upinzani badala ya kutumia akili wanatumia nguvu. Ccm kama taasisi ilishakufa na MWALIMU.chama kinachobebwa na dola badala ya Hoja utasema vipi taasisi.Je siku wakichokwa kubebwa Na polisi watasimama vipi sasa
 
Unachotaka kusema polisi ndio wanawasaidia kutekeleza ilani ya chama chao,kwa kudhibiti rushwa kujenga sgr,kufufua reli ya zamani,kujenga daraja la busisi elimu bure moaka form four ,kujenga JNHHP ,vituo vya afya 364 na hospital za wilaya 70. Kama ni hivyo upo sawa. Maana polisi lazima wakamate wanaohujumu ilani ya CCM isitekelezwe.
 
Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,
 
Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,
Siasa mnalazimisha sio ushabiki kama mnavyodhania. Sio kama Simba na Yanga, hata kama timu mbovu utakomaa kuishabikia.
 
CHADEMA bado ina ideology?
CHADEMA ilikuwa na Ideology kipindi cha Dr. Aliipigania mpaka alipoona hawezi kishinda tamaa ya Mbowe na Lisu kwa mabilioni ya Lowasa. Kuilinda heshima yake akaona awaache wendelee na madili yao.

Hakuna kipindi CHADEMA tulikuwa imara kama 2015, na hakuna kipindi CCM ilikuwa HOI kama 2015.

What happened? Mbowe na Tundu wakafika bei kuiokoa CCM na KIFO.
Mbona hamkuwatukana? Na leo mmewapa tena kukiongoza chama utafikiri CHADEMA hakuna wengine wenye AKILI isipokuwa hao wapiga dili.

Na this year CCM Watatutandika kipigo cha Mbwa koko.
Akina Mbowe wanalijua vizuri mno na ndio maana wanatuandaa kisaikolojia kuisingizia TUME.

CHADEMA kama tufanikiwa kupata wabunge haitazidi single digit. Believe me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…