CCM acheni kuwaumiza watu! Mtangulizeni Dr. Slaa katika vita ya kuiangamiza CHADEMA

Chadema ni kama Liverpool wakifungwa au kuwa matokeo mabaya wanakaa kimya wanaumia kimoyo moyo wakiiibua kitu kipya wanajiunga tena
 
Tukiweza kutimiza suala LA Katiba ya Wananchi ambayo ndani yake tutaweka mifumo imara ya uchaguzi wa haki,Huru na kuheshimu uamuzi wa wapiga kura nchi hii itapaa kimaendeleo.Watu wake watarudiwa na uhai na furaha.Nchi ya Ahadi.
 
Hofu ya nn Kama wanaamini wanatenda Kweli na sio propaganda kwann wategemee polisi na sio natural laws,
Fafanua polisi wanatumikaje? Maana ukifanya kosa vyombo vya dola lazima vikukamate. Mfano kuna jengwa reli ukiiba nondo polisi wanakukamata.Sasa hapo kuna tatizo?
 

Dr slaa hawezi mwili uko ccm roho ipo cdm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Slaa, Prof. Safari., Dr. MASHINJI, Prof. Kitila etc. Wewe unamjua Waitara tu! Wapo wengi...
 
Hata DP ya Mtikila bado iko mioyoni mwa watu. Hata ASP ya Z'bar bado iko mioyoni mwa watu. Tatizo ni kwa umuhimu gani?
 
Wanachama wengi niwasomi Tofauti na ccm mkuu ndo maana unaona wakienda ccm wanapata vyeo .
Msomi gani aliyeenda CCM? Au niulize ni mwanachama gani wa maana ambaye hakuwahi kuwa CCM? Mnyika?
 
Hata akiondoka nani chadema itabaki daima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka

Habari za hapo Kighare. Mwaka 2015 tulipambana sana kumng'oa Maghembe lkn mambo yalikwama.

Rays naye kaamua kurudi CCCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema hii hii iliyokosa agenda post 2015?
Ndo ujue hakifi. Kama kilikosa agenda 2015 hushangai kwa nini hakijafa? Kama wamesurvival tena bila kua na agenda huoni kama ni uthibitisho hakitakuafa.
 
Kwani wenzio uwaoni akina shonza wanavyokula keki ya Taifa lakin kuna wanaccm kibao ambao awakusoma wanaia na Mungu wao.
Samahani kwa kujadiliana na wewe maana unavyoandika tu inatosha kufunga mjadala.
 
Hiyo chadema ina watu wangapi hapo juu wanaoweza kuongoza nchi?wana uwezo upi unaouona wewe wa kusema chama kimejijenga pakubwa?hayo ni maneno maneno tu

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…