CCM acheni utani na watanzania: Kweli kuzibua mitaro na kufyeka barabara mnazihesabu kama ajira za kuongeza?

Polepole hebu jitokeze katika hili
 
Hata kuokota chupa za plastic ni ajira Kwa mujibu wa CCM
 
Kwani watakua wanafanya bure au wanalipwa, hizo ni kazi kama kazi nyingine, heshimu kazi za watu.
Hizi ndio miongoni mwa kazi mill 8 mlizoahidi?.

Siwezi yashangaa maccm kama yanasema kuwa na cherehani mbili tayari nikiwanda.
 
Nitajie nchi gani duniani hakuna wasafisha mitaro, wazibua vyoo au wasafisha barabara, tofauti ni vitendea kazi na msalahi tuu hila, hizo kazi zipo duniani kote na watu wanaziitaji hata hapa tanzania
 
Maslahi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…