CCM acheni utaratibu wa kubeba wanafunzi kwenye mikutano kwa maelekezo wasivae nguo za shule. Mnamdanganya nani?

kichongeochuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2024
Posts
1,669
Reaction score
2,864
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapopita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?

Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo.

Watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
 
Bado CCM na Rais wake hawawezi kuona kuwa kuna mahali wanakosea na hivyo hawapendwi/hawaungwi mkono na Umma. badala ya kufanya utafiti wanaksea wapi warekebishe, wanamdanganya Samia kuwa Umma uko nyuma yake kumbe wanamdanganya.
 
Hiyo itaisha pale siasa zikiwa kazi za kawaida zosiokua na malipo makubwa na posho za anasa!!
Happy tutatatua Hadi tatizo la walemavu wa ngozi kuuawa!
 
Sasa unataka wavae nguo za shule kwenye mkutano wa kumsikiliza Rais wao
 
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Mh.Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?

Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo , watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
Kwa hiyo mikutano ya mama kuwa na watu wengi imewauma Sana.
 
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?

Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo.

Watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
Hahaha mafuriko Fake
 
Tuma picha ili kuthibitisha hoja yako
 
Aione Lucas Mwashambwa na Erythrocyte
 
Hao watoto wenyewe wanapenda kwenda huko kuliko kukaa darasani
 
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?

Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo.

Watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
 
Attachments

  • IMG-20240806-WA0003~2.jpg
    IMG-20240806-WA0003~2.jpg
    53.8 KB · Views: 1
Aibu, aibu aibu kubwa!

Ccm imechokwa, na inanuka.

2015 huyu mama hatoboi.
 
Back
Top Bottom