kichongeochuma
JF-Expert Member
- Jan 21, 2024
- 1,669
- 2,864
Kwa hiyo mikutano ya mama kuwa na watu wengi imewauma Sana.Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Mh.Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo , watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
Hahaha mafuriko FakeNimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo.
Watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
Tuma picha ili kuthibitisha hoja yakoNimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo.
Watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
Aione Lucas Mwashambwa na ErythrocyteNimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?
Watoto darasa la 5,6,7 na wanafunzi wa sekondari na vyuo wanabebwa na malori,wengine na mabasi kutoka maeneo mbali mbali hata kama ni siku za masomo.
Watoto wanaahirishiwa masomo kwa ajili ya kubebwa kwenda kwenye mkutano wa Rais ,hii maana yake ni nini hasa ? Huu ni ujinga ulio pitwa na wakati kabisa na unakiuka misingi ya haki.
Nafikri Rais mwenyewe anafurahia kudanganywaHao CCM kwakweli wameishiwa, Hadi hivi sasa wanalazimika kuwalazimisha wanafunzi wa shule za msingi na secondary kuja Kwenye mikutano ya Rais Samia
Hana Option.....bora adanganywe kuliko aibu na fedheha.Nafikri Rais mwenyewe anafurahia kudanganywa
RightHana Option.....bora adanganywe kuliko aibu na fedheha.
She knows very well.
Nimeona hii inafanyika maeneo mengi anapo pita Rais, sasa hapa sasa lengo huwa ni kumdanganya nanii? Je? Rais, wananchi, vyombo vya habari au nani?