CCM anapotaka Tume Huru si Bure

CCM anapotaka Tume Huru si Bure

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema?

Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura

Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo.

Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera.

Mengine ni manjonjo tu.

Ni kushupaza shingo, kwa vile wao ndiyo wanaolamba asali.
 
Back
Top Bottom