B brazaj JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 31,698 Reaction score 41,733 Sep 24, 2022 #1 Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo tu. Ni kushupaza shingo, kwa vile wao ndiyo wanaolamba asali.
Kwamba CCM hawajui umuhimu wa tume huru? Nani kasema? Mgombea CCM ataka tume huru kuhesabu kura Kafunguka mgombea kwenye chama hicho kikongwe bila tume huru, hamwamini mtu chamani humo. Aliyajua jiwe. Anayajua Samia. Anajua Majaliwa. Anajua Mukandara na hata Dkt. Mahera. Mengine ni manjonjo tu. Ni kushupaza shingo, kwa vile wao ndiyo wanaolamba asali.
Mwanakwetuuu JF-Expert Member Joined Apr 8, 2022 Posts 1,011 Reaction score 2,283 Sep 24, 2022 #2 Yaani wachawi wamekamatana maajabu ,nahisi habari hii itakuwa fake
ozone layer JF-Expert Member Joined Oct 27, 2021 Posts 471 Reaction score 1,935 Sep 24, 2022 #3 Iwe kweli walau tufurahie mtifuano
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Sep 24, 2022 #4 Wameanza kuimba nyimbo zinazofanana na wapinzani