CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

Tena mtu mwenyewe hana hata credibility za kuhoji, watu wameuza mashirika, watu wameuza loliondo, wameuza gesi mtu anaumia na viwanja viwili vya mwanza
Kuna makundi mawili la kwanza ni wale waliokosa mgao kundi la pili ni hater wa jiji la mwanza wanaotaka mwanza mjini paendelee kuwa na vichuguu katikati ya mji ili wapate muda wa kupondea.
 
Kama mnaweza mkaipeleka halmashauri na baraza la madiwani mahakamani then your right.
 
Kuna makundi mawili la kwanza ni wale waliokosa mgao kundi la pili ni hater wa jiji la mwanza wanaotaka mwanza mjini paendelee kuwa na vichuguu katikati ya mji ili wapate muda wa kupondea.

Nimecheka Kwa sauti wakati si mazuri [emoji38]

Jina lako ni gumu kulitamka linaukakasi wa kimaadili,

[emoji14][emoji28]
 
Kuna makundi mawili la kwanza ni wale waliokosa mgao kundi la pili ni hater wa jiji la mwanza wanaotaka mwanza mjini paendelee kuwa na vichuguu katikati ya mji ili wapate muda wa kupondea.
Makundi ni mawili tu, kundi lako wewe na wezi na vibaka wenzio, na kundi la wananchi wakiongozwa na samia
 
Hakuna panapovuja we pimbi endelea tu kulala

Nakusamehe bure [emoji3][emoji28]

Umevugwa wewe!

Pole Sana!

Lakini sasa naona kama badala ya kujisaidia wewe binafsi badala yake unazidi kuifanya mind yako kuelemewa! [emoji848]

Ushauri;
1. Ongeza kiwango chako cha imani na kupata mafunzo ya Neno la Mungu
2. Fanya mazoezi regularly (kutembea)

3. Fanya meditation kila siku kwa dakika 10

4. Kula vyakula kiasi kidogo tena vyenye lishe

N.k
 
Makundi ni mawili tu, kundi lako wewe na wezi na vibaka wenzio, na kundi la wananchi wakiongozwa na samia
Nyie wananchi sijui ndio chawa mnataka nini, je hicho kiwanja kinawahusu ata kingeuzwa bilioni 1000 hizo pesa ungeletewa wewe mwanachi kajamba nani.
 
Hakuna panapovuja we pimbi endelea tu kulala, kwa sababu hakuna paa

Nitamwambia Maxsence Melo CEO aweke mkakati maalumu wahuni na washenzi Kama wewe wasiishie kuwapiga ban tu Bali wawapige embargo !

JF iwe sehemu wa waungwa na wastaarabu ambao wanalumbana kwa hoja na sio matusi.

Sijui nimpatie hii ID yako sekunde hii maana nina namba yake ya mobile! [emoji4]
 
Nyie wananchi sijui ndio chawa mnataka nini, je hicho kiwanja kinawahusu ata kingeuzwa bilioni 1000 hizo pesa ungeletewa wewe mwanachi kajamba nani.
Kinatuhusu, nyie wezi mnaona hicho ni Mali yenu? Yaani mzazi wako amekusomesha uje ufanye wizi maofisini? Na unarudi kumsabahi na kumuachia Hela za matumizi za wizi
 
Acheni tabia za kuchongeana huo sio uungwana.
 
Kinatuhusu, nyie wezi mnaona hicho ni Mali yenu? Yaani mzazi wako amekusomesha uje ufanye wizi maofisini? Na unarudi kumsabahi na kumuachia Hela za matumizi za wizi
Tumeshauza na haitobadili kitu.
 
Chadema isahau kabisa jiji la Mwanza kwa sababu ni washirika wa uharifu na waharifu pamoja na kuingia mkenge kumbagaza hayati JPM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…