CCM anzisheni mchakato wa kutafuta mgombea wa urais ili waombaji watafute wadhamini mapema acheni kushupaza shingo.

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha:

Methali 29:1
"Mtu ashupaye shingo baada ya kukemewa mara nyingi, atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa."

"Atavunjika ghafula" maana yake ni kwamba atapata maangamizi yasiyotabirika – kwa ghafla, na bila nafasi ya kupona.

"Wala hatakuwa na dawa" ina maana hakuna mtu atakayemsaidia au kumwokoa – yaani ataharibikiwa kabi

Hii methali ni onyo kwa watu wasiotaka kusikia maonyo au mafundisho – hata baada ya kuonywa mara nyingi. Mungu anatoa rehema nyingi, lakini pia anatoa hukumu kwa ukaidi.
 
1753353455585.png
 
Sawa. Lakini, Gharama zitarudije?. Kuhani Musa ml. 100,000,000. Mwamposa.... Makanisa kadhaa na misikitini mamilioni .Pikipiki na baiskeli zenye maandishi na picha. Hivi ninyi mnadhani ni rahisi?. Mzee Msoga anasema hakuna ku-surrender.
 
Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha:

"Mtu ashupaye shingo baada ya kukemewa mara nyingi, atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa."

"Atavunjika ghafula" maana yake ni kwamba atapata maangamizi yasiyotabirika – kwa ghafla, na bila nafasi ya kupona.

"Wala hatakuwa na dawa" ina maana hakuna mtu atakayemsaidia au kumwokoa – yaani ataharibikiwa kabi

Hii methali ni onyo kwa watu wasiotaka kusikia maonyo au mafundisho – hata baada ya kuonywa mara nyingi. Mungu anatoa rehema nyingi, lakini pia anatoa hukumu kwa ukaidi.
Kundi lake wanaogopa atashindwa
 
Back
Top Bottom