Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sema wewe sio mjinga ila mimi kama wananchi walio wengi ni vilaza tu.Wananchi tuna akili msituone wajinga! Tunawachora tu
Uzuri Kila kitu kinajulikanaChama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya kuibuka kwake kuelekea uchaguzi.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 21, 2025 Makao Makuu ya CCM mkoani Arusha, Saipulani amesema kuwa madai hayo hayana msingi wowote na hayapaswi kupewa uzito.
“CHAUMMA ni chama kinachojiendesha chenyewe. CCM haina uhusiano wowote wa kifedha wala kimkakati na chama hicho. Tunajiuliza: Tungewasaidia kwa makubaliano yapi?” amesema
Ramsey ameendelea kusema kuwa kama CCM ingekuwa na nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa makusudi, basi kwa mtazamo wake binafsi, nguvu kubwa ingewekezwa katika kuisaidia ACT-Wazalendo au hata CUF, na si CHAUMMA.
View attachment 3341780
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya kuibuka kwake kuelekea uchaguzi.

View attachment 3341833

Pia soma Pre GE2025 - DSM - CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA
Waache UTOTO“CHAUMMA ni chama kinachojiendesha chenyewe. CCM haina uhusiano wowote wa kifedha wala kimkakati na chama hicho. Tunajiuliza: Tungewasaidia kwa makubaliano yapi?” amesema
Wanamaanisha ZZK ni familiaChama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu Mwenezi wake wa Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, kimepinga vikali madai yanayoenezwa mitandaoni kuwa kinakiwezesha Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), hususan kiuchumi. Baadhi ya watumiaji wa mitandao wamehoji chanzo cha fedha za CHAUMMA na kasi ya kuibuka kwake kuelekea uchaguzi.
Akizungumza na waandishi wa habari Mei 21, 2025 Makao Makuu ya CCM mkoani Arusha, Saipulani amesema kuwa madai hayo hayana msingi wowote na hayapaswi kupewa uzito.
“CHAUMMA ni chama kinachojiendesha chenyewe. CCM haina uhusiano wowote wa kifedha wala kimkakati na chama hicho. Tunajiuliza: Tungewasaidia kwa makubaliano yapi?” amesema
Ramsey ameendelea kusema kuwa kama CCM ingekuwa na nia ya kuidhoofisha CHADEMA kwa makusudi, basi kwa mtazamo wake binafsi, nguvu kubwa ingewekezwa katika kuisaidia ACT-Wazalendo au hata CUF, na si CHAUMMA.
View attachment 3341780
Pia soma Pre GE2025 - DSM - CHAUMMA yapokea rasmi baadhi ya G55 walioondoka CHADEMA
Na hawakuwa 3,000 bali kujazia. Ni mwanachama gani anaweza kusafiri Arusha hadi Dar akajuinge na chama cha siasa?Halafu sura karibu zote zilizokwenda huko Chaumma ni Kaskazini.
KWA COMMENT HII MAKINI TUMEFUNGA RASMI UZI HUU.AIDHA KWA SASA TUNAMSIKILIZA TU GWAJIMA PEKEE JUU YA UTEKAJIYeye wa Arusha atajua wapi ya makao makuu wenye pesa?