Tetesi: CCM asili inamuandaa mgombea wake 2020

Tifuaneni hivo hivo makada!..ndio vizuri
 
CCM A + CCM B= 2CCM +

CCM A + CCM B=2CCM +A+B!!!!!!!!!!!!
 
Chama kikishakuwa kubwa mara zote watu wanatofautiana ila inategemeana wenye kutumia nguvu na wenye kutumia akili,hayo hayaepukiki kwenye chama cha siasa
 
Porojo hizo wewe peleka huko ufipa mnakoandaana, CCM maji marefu!!
 
Bora tungemuacha yule aliyeshinda kwenye kura za chama .. Ila jinsia eti ndo ikawa shida sasa sijui mnaona majanga haya... Bora angekaa Dr pamoja na kua jinsia yake inachangamoto
 
kama CCM hakikusambaratika 2015 hakiwezi kusambaratika in next 20 yrs
 

Mwaka mmoja tu mmeshaanza kunena kwa lugha! maisha ya ujanja ujanja yana tabu zake.
 
Hakuna mwanadamu yeyote anaependa kuvuruzwa. Hii inapelekea kuwa na strggle ktk kila nyanja ya maisha.

Struggle zipo kuanzia ndani ya familia, shuleni, ofisini, ktk taasisi za dini mpaka mamlaka za juu.

Mwaweza ona mpo pamoja ila kumbe ni tofauti.

Sishangai kwa hili.
 
Mwaka mmoja tu mmeshaanza kunena kwa lugha! maisha ya ujanja ujanja yana tabu zake.
Unanijua? Naishi wapi? Nafanya nini?

Kuna ambaye anaishi kwa ujanja ujanja kama wafuasi wa magamba aka chama chakavu?
 
CHADEMA Asili pia 2020 Dr. Slaa agombee. Hii ya akina Dr. Mashinji imebuma hii....
 
misingi ya chama imeainishwa katika Katiba ya Chama na kanuni zake....Kanuni na Katiba viko wazi kila mtu anajua. Sidhani kama kuna kiongozi wa chama ambaye hajapitia Katiba na kanuni/miongozo ya chama.

Kusema hawajui misingi ya chama, kauli hii inatia mashaka. Vinginevyo waseme wanayo misingi mingine ambayo imefichwa kwenye Katiba ya kificho (kama kweli ipo) ya chama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…