msemakweli wa pili
Member
- Jul 29, 2015
- 19
- 5
I cannot see kundi ambalo linaweza kumzuia Magufuli asirudi for the second term. Believe me no one has that courage inside ccm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hembu wasituchoshe wamwache baba wa watu atumikie vipindi viwili kama ni kweli nina imani hawatafanikiwa na watakuwa ni uchu wa madaraka tu si vinginevyo washindwe na walegeeNdugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.
Kama mnavyofahamu katika awamu hii kuna viongozi wengi wa CCM ambayo ni majeruhi kutokana na kutumia fedha na nguvu zao nyingi kukisaidia chama kishinde katika uchaguzi wa mwaka 2015 lakini wametupwa kama vile hawana chochote walichokifanya ndani ya chama.
Hali iliyopo kwa sasa inasemekana kuna makundi makubwa mawili ndani ya chama ambayo Rais ameyatengeneza kwa makusudi ili kuwakomoa baadhi ya wananchama waliokuwa wanajiona kama wao ndio wanaccm kweli kweli. Makundi yaliyopo kwa sasa ni;
1. CCM ASILI (CCM A) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wakongwe na wenye mbinu nyingi katika chaguzi mbali mbali, ikiwa ni pamoja na majeruhi wengi katika awamu hii ya uongozi.
2. CCM MWENDOKASI (CCM B) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wenye kunufaika na utawala huu na ambao wengi wao si wazoefu sana na mambo ya kisiasa ila imetokea tu wamebahatika kupewa vyeo katika Serikali hii na kujiona wao ndio wenye chama kwa sasa.
Katika makundi haya japo hayajitangazi moja kwa moja lakini yapo na yanaendelea kufanya mikakati kivyake. Kundi la pili (CCM MWENDOKASI), hili kundi liko mtaani na linajinadi kila uchwao na linajaribu kutafuta watu wao ili ifikapo mwaka 2017 waweze kuwapenyeza kwenye uongozi na kushika madaraka.
Kundi la kwanza (CCM ASILI) hawa wako kimya na wanafanya mikakati yao kimya kimya, hutawasikia mitaani au kwenye mashina ya chama wakifanya makeke yoyote ila mipango yao ni mikubwa. Kundi hili lina ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na inasemekana hali itakuwa sio ya kawaida kwenye uchaguzi wa chama mwaka 2017.
Inasemekana mwaka 2020 CCM haitabaki kama ilivyo, hali itakuwa tofauti sana na inawezekana hakutakuwa na kitu kinachojulikana kama utamaduni wa kuachiana.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisia ndani ya chama cha Mapinduzi na ambaye yeye amejitabulisha kuwa kwa sasa yuko kundi Mwendokasi kwa sababu anafaidika na utawala huu lakini mapenzi yake yanaegemea kundi la Asili kwasababu wana hoja za msingi kwamba chama kimeporwa na watu wasiojua misingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Nawatakieni kila la kheri!!!!!!!
Ila wewe jamaa una muda wa kutosha kukesha na kushinda JF na kuchangia kila mada kila muda. Halafu hapo hapo unadai hakuna hela mtaani...Kuumia kwa ccm ndio kupona kwa watanzania.............
Kama tu uchaguzi uliopita hakuna mtu Mwenye uhakika kama alishinda ije iwe 2020?
Ni kweli huyu mgombea inabidi abadiliswhe 2020 lasivyo atashindwa vibaya na atakatalia ikulu.........
Hapo ndipo nchi itakapoingia matatani.....
Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.
Kama mnavyofahamu katika awamu hii kuna viongozi wengi wa CCM ambayo ni majeruhi kutokana na kutumia fedha na nguvu zao nyingi kukisaidia chama kishinde katika uchaguzi wa mwaka 2015 lakini wametupwa kama vile hawana chochote walichokifanya ndani ya chama.
Hali iliyopo kwa sasa inasemekana kuna makundi makubwa mawili ndani ya chama ambayo Rais ameyatengeneza kwa makusudi ili kuwakomoa baadhi ya wananchama waliokuwa wanajiona kama wao ndio wanaccm kweli kweli. Makundi yaliyopo kwa sasa ni;
1. CCM ASILI (CCM A) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wakongwe na wenye mbinu nyingi katika chaguzi mbali mbali, ikiwa ni pamoja na majeruhi wengi katika awamu hii ya uongozi.
2. CCM MWENDOKASI (CCM B) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wenye kunufaika na utawala huu na ambao wengi wao si wazoefu sana na mambo ya kisiasa ila imetokea tu wamebahatika kupewa vyeo katika Serikali hii na kujiona wao ndio wenye chama kwa sasa.
Katika makundi haya japo hayajitangazi moja kwa moja lakini yapo na yanaendelea kufanya mikakati kivyake. Kundi la pili (CCM MWENDOKASI), hili kundi liko mtaani na linajinadi kila uchwao na linajaribu kutafuta watu wao ili ifikapo mwaka 2017 waweze kuwapenyeza kwenye uongozi na kushika madaraka.
Kundi la kwanza (CCM ASILI) hawa wako kimya na wanafanya mikakati yao kimya kimya, hutawasikia mitaani au kwenye mashina ya chama wakifanya makeke yoyote ila mipango yao ni mikubwa. Kundi hili lina ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na inasemekana hali itakuwa sio ya kawaida kwenye uchaguzi wa chama mwaka 2017.
Inasemekana mwaka 2020 CCM haitabaki kama ilivyo, hali itakuwa tofauti sana na inawezekana hakutakuwa na kitu kinachojulikana kama utamaduni wa kuachiana.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisia ndani ya chama cha Mapinduzi na ambaye yeye amejitabulisha kuwa kwa sasa yuko kundi Mwendokasi kwa sababu anafaidika na utawala huu lakini mapenzi yake yanaegemea kundi la Asili kwasababu wana hoja za msingi kwamba chama kimeporwa na watu wasiojua misingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Nawatakieni kila la kheri!!!!!!!
Ni pm Uje nikuajiri kuna kazi kwenye office yangu .....Ila wewe jamaa una muda wa kutosha kukesha na kushinda JF na kuchangia kila mada kila muda. Halafu hapo hapo unadai hakuna hela mtaani...
Ni pm Uje nikuajiri kuna kazi kwenye office yangu .....
Mi sio kama serikali yako ambavyo haiwezi kutoa Ajira wakati watu wanalipa kodi
Mawazo yako madogo eti kila anayemkosoa mkulu ni wa ufipa wakati wakosoaji wake wengi wamejaa serikalini!!!Ajira yako ni pale Ufipa. Mmepewa kompyuta na vifurushi vya bure basi mambo burudani. Mnajimwaga tu vijana wa Aikael
wao wana mapepo sisi tuna Mungu alie hai Magufuli mbele kwa mbele......Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.
Kama mnavyofahamu katika awamu hii kuna viongozi wengi wa CCM ambayo ni majeruhi kutokana na kutumia fedha na nguvu zao nyingi kukisaidia chama kishinde katika uchaguzi wa mwaka 2015 lakini wametupwa kama vile hawana chochote walichokifanya ndani ya chama.
Hali iliyopo kwa sasa inasemekana kuna makundi makubwa mawili ndani ya chama ambayo Rais ameyatengeneza kwa makusudi ili kuwakomoa baadhi ya wananchama waliokuwa wanajiona kama wao ndio wanaccm kweli kweli. Makundi yaliyopo kwa sasa ni;
1. CCM ASILI (CCM A) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wakongwe na wenye mbinu nyingi katika chaguzi mbali mbali, ikiwa ni pamoja na majeruhi wengi katika awamu hii ya uongozi.
2. CCM MWENDOKASI (CCM B) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wenye kunufaika na utawala huu na ambao wengi wao si wazoefu sana na mambo ya kisiasa ila imetokea tu wamebahatika kupewa vyeo katika Serikali hii na kujiona wao ndio wenye chama kwa sasa.
Katika makundi haya japo hayajitangazi moja kwa moja lakini yapo na yanaendelea kufanya mikakati kivyake. Kundi la pili (CCM MWENDOKASI), hili kundi liko mtaani na linajinadi kila uchwao na linajaribu kutafuta watu wao ili ifikapo mwaka 2017 waweze kuwapenyeza kwenye uongozi na kushika madaraka.
Kundi la kwanza (CCM ASILI) hawa wako kimya na wanafanya mikakati yao kimya kimya, hutawasikia mitaani au kwenye mashina ya chama wakifanya makeke yoyote ila mipango yao ni mikubwa. Kundi hili lina ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na inasemekana hali itakuwa sio ya kawaida kwenye uchaguzi wa chama mwaka 2017.
Inasemekana mwaka 2020 CCM haitabaki kama ilivyo, hali itakuwa tofauti sana na inawezekana hakutakuwa na kitu kinachojulikana kama utamaduni wa kuachiana.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisia ndani ya chama cha Mapinduzi na ambaye yeye amejitabulisha kuwa kwa sasa yuko kundi Mwendokasi kwa sababu anafaidika na utawala huu lakini mapenzi yake yanaegemea kundi la Asili kwasababu wana hoja za msingi kwamba chama kimeporwa na watu wasiojua misingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Nawatakieni kila la kheri!!!!!!!
Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.
Kama mnavyofahamu katika awamu hii kuna viongozi wengi wa CCM ambayo ni majeruhi kutokana na kutumia fedha na nguvu zao nyingi kukisaidia chama kishinde katika uchaguzi wa mwaka 2015 lakini wametupwa kama vile hawana chochote walichokifanya ndani ya chama.
Hali iliyopo kwa sasa inasemekana kuna makundi makubwa mawili ndani ya chama ambayo Rais ameyatengeneza kwa makusudi ili kuwakomoa baadhi ya wananchama waliokuwa wanajiona kama wao ndio wanaccm kweli kweli. Makundi yaliyopo kwa sasa ni;
1. CCM ASILI (CCM A) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wakongwe na wenye mbinu nyingi katika chaguzi mbali mbali, ikiwa ni pamoja na majeruhi wengi katika awamu hii ya uongozi.
2. CCM MWENDOKASI (CCM B) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wenye kunufaika na utawala huu na ambao wengi wao si wazoefu sana na mambo ya kisiasa ila imetokea tu wamebahatika kupewa vyeo katika Serikali hii na kujiona wao ndio wenye chama kwa sasa.
Magufuli 2015-2015
Katika makundi haya japo hayajitangazi moja kwa moja lakini yapo na yanaendelea kufanya mikakati kivyake. Kundi la pili (CCM MWENDOKASI), hili kundi liko mtaani na linajinadi kila uchwao na linajaribu kutafuta watu wao ili ifikapo mwaka 2017 waweze kuwapenyeza kwenye uongozi na kushika madaraka.
Kundi la kwanza (CCM ASILI) hawa wako kimya na wanafanya mikakati yao kimya kimya, hutawasikia mitaani au kwenye mashina ya chama wakifanya makeke yoyote ila mipango yao ni mikubwa. Kundi hili lina ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na inasemekana hali itakuwa sio ya kawaida kwenye uchaguzi wa chama mwaka 2017.
Inasemekana mwaka 2020 CCM haitabaki kama ilivyo, hali itakuwa tofauti sana na inawezekana hakutakuwa na kitu kinachojulikana kama utamaduni wa kuachiana.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisia ndani ya chama cha Mapinduzi na ambaye yeye amejitabulisha kuwa kwa sasa yuko kundi Mwendokasi kwa sababu anafaidika na utawala huu lakini mapenzi yake yanaegemea kundi la Asili kwasababu wana hoja za msingi kwamba chama kimeporwa na watu wasiojua misingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Nawatakieni kila la kheri!!!!!!!
Magufuli 2015-2025Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.
Kama mnavyofahamu katika awamu hii kuna viongozi wengi wa CCM ambayo ni majeruhi kutokana na kutumia fedha na nguvu zao nyingi kukisaidia chama kishinde katika uchaguzi wa mwaka 2015 lakini wametupwa kama vile hawana chochote walichokifanya ndani ya chama.
Hali iliyopo kwa sasa inasemekana kuna makundi makubwa mawili ndani ya chama ambayo Rais ameyatengeneza kwa makusudi ili kuwakomoa baadhi ya wananchama waliokuwa wanajiona kama wao ndio wanaccm kweli kweli. Makundi yaliyopo kwa sasa ni;
1. CCM ASILI (CCM A) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wakongwe na wenye mbinu nyingi katika chaguzi mbali mbali, ikiwa ni pamoja na majeruhi wengi katika awamu hii ya uongozi.
2. CCM MWENDOKASI (CCM B) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wenye kunufaika na utawala huu na ambao wengi wao si wazoefu sana na mambo ya kisiasa ila imetokea tu wamebahatika kupewa vyeo katika Serikali hii na kujiona wao ndio wenye chama kwa sasa.
Katika makundi haya japo hayajitangazi moja kwa moja lakini yapo na yanaendelea kufanya mikakati kivyake. Kundi la pili (CCM MWENDOKASI), hili kundi liko mtaani na linajinadi kila uchwao na linajaribu kutafuta watu wao ili ifikapo mwaka 2017 waweze kuwapenyeza kwenye uongozi na kushika madaraka.
Kundi la kwanza (CCM ASILI) hawa wako kimya na wanafanya mikakati yao kimya kimya, hutawasikia mitaani au kwenye mashina ya chama wakifanya makeke yoyote ila mipango yao ni mikubwa. Kundi hili lina ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na inasemekana hali itakuwa sio ya kawaida kwenye uchaguzi wa chama mwaka 2017.
Inasemekana mwaka 2020 CCM haitabaki kama ilivyo, hali itakuwa tofauti sana na inawezekana hakutakuwa na kitu kinachojulikana kama utamaduni wa kuachiana.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisia ndani ya chama cha Mapinduzi na ambaye yeye amejitabulisha kuwa kwa sasa yuko kundi Mwendokasi kwa sababu anafaidika na utawala huu lakini mapenzi yake yanaegemea kundi la Asili kwasababu wana hoja za msingi kwamba chama kimeporwa na watu wasiojua misingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Nawatakieni kila la kheri!!!!!!!
Wazee wa "kuna taarifa"," nimepata tetesi" ,"kuna mkakati"..."A na B"Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.
Kama mnavyofahamu katika awamu hii kuna viongozi wengi wa CCM ambayo ni majeruhi kutokana na kutumia fedha na nguvu zao nyingi kukisaidia chama kishinde katika uchaguzi wa mwaka 2015 lakini wametupwa kama vile hawana chochote walichokifanya ndani ya chama.
Hali iliyopo kwa sasa inasemekana kuna makundi makubwa mawili ndani ya chama ambayo Rais ameyatengeneza kwa makusudi ili kuwakomoa baadhi ya wananchama waliokuwa wanajiona kama wao ndio wanaccm kweli kweli. Makundi yaliyopo kwa sasa ni;
1. CCM ASILI (CCM A) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wakongwe na wenye mbinu nyingi katika chaguzi mbali mbali, ikiwa ni pamoja na majeruhi wengi katika awamu hii ya uongozi.
2. CCM MWENDOKASI (CCM B) = Hili ni kundi lililojaa wanachama wengi wenye kunufaika na utawala huu na ambao wengi wao si wazoefu sana na mambo ya kisiasa ila imetokea tu wamebahatika kupewa vyeo katika Serikali hii na kujiona wao ndio wenye chama kwa sasa.
Katika makundi haya japo hayajitangazi moja kwa moja lakini yapo na yanaendelea kufanya mikakati kivyake. Kundi la pili (CCM MWENDOKASI), hili kundi liko mtaani na linajinadi kila uchwao na linajaribu kutafuta watu wao ili ifikapo mwaka 2017 waweze kuwapenyeza kwenye uongozi na kushika madaraka.
Kundi la kwanza (CCM ASILI) hawa wako kimya na wanafanya mikakati yao kimya kimya, hutawasikia mitaani au kwenye mashina ya chama wakifanya makeke yoyote ila mipango yao ni mikubwa. Kundi hili lina ushawishi mkubwa sana ndani ya CCM na inasemekana hali itakuwa sio ya kawaida kwenye uchaguzi wa chama mwaka 2017.
Inasemekana mwaka 2020 CCM haitabaki kama ilivyo, hali itakuwa tofauti sana na inawezekana hakutakuwa na kitu kinachojulikana kama utamaduni wa kuachiana.
Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisia ndani ya chama cha Mapinduzi na ambaye yeye amejitabulisha kuwa kwa sasa yuko kundi Mwendokasi kwa sababu anafaidika na utawala huu lakini mapenzi yake yanaegemea kundi la Asili kwasababu wana hoja za msingi kwamba chama kimeporwa na watu wasiojua misingi ya Chama Cha Mapinduzi.
Nawatakieni kila la kheri!!!!!!!
Habari ndo hiyoMgombea Urais wa 2020 tunaye. Ni JPM
CCM A+CCM B=CCM(A+B)CCM A + CCM B= 2CCM +
CCM A + CCM B=2CCM +A+B!!!!!!!!!!!!
Umenikumbusha msemo wa president Kenyatta aliposema, "kumeza mate sio kukula nyama, sisi tunakula nyama wacha wao waendelee kumeza mate"!!Si rahisi kihivi sababu mwenye kisu ndiye mlaji.Kisu anacho JPM
Hakuna cha asili wala cha nini. Haya maandalizi ya namna hii yanahitaji pesa nyingi sana kuzidi zile za kugawa makanisani na miskitini. JPM amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwa kubana upatikanani wa hela chafu ambazo niseme ndo zingewezesha hiyo unayoita asili. Kwa hali Iilivyo sasa mifukuni kwa hao asili wako ni tete sembuse uwasubirishe tena mpaka 2020......sipati picha.Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa katika awamu hii ya uongozi.