Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ndiyo. Hatumtaki Lissu CHADEMA sababu Lissu atakiua chama.na Lissu ataleta migogoro CHADEMA. Sisi CCM Tukifikiria hilo tunaona si sawa. Si jambo jema.
Kama nasi tutaruhusiwa kupiga kura basi tutamchagua Mbowe. Na tumeshaelekezana kuwa KAMANDA ANATOSHA. TUNAENDA NA MWAMBA.
Lissu ni mtu asiyefaa kuwa kiongozi. Huwa anaongea kile anachoamini haijalishi nyie mtajisikiaje. Kisha Lissu hana pesa. Mbangaizaji tu. Mbowe ni Billionea. Ana pesa Mbwa haruki. Lissu hana kitu. Anabangaiza tu.
Soma Pia: Wanachama, Viongozi CHADEMA wagawanyika kambi tofauti, hofu ya mpasuko yaongezeka
CCM Tunataka CHADEMA iwe na uongozi mzuri. Tunamtaka Mbowe na Wenje. Hawa ni viongozi wanaofaa sana. Hawa ndo wataivukisha Chadema. Hata Urais tunataka agombee Mbowe. Mbowe ndo anaweza mshinda Samia. Lissu hawezi mshinda Samia. Acheni kuwaza ujinga.
Mbowe ni mwanademokrasia anakifahamu chama ndani nje. Amekilea. Na bila yeye Chadema kitakufa. Nawaambia hivi. Ukisoma nyuzi za sisi wana CCM humu za kumponda Lissu ni nyingi kuliko za kumsifia Samia. Sababu tumeona Mbowe anafaa sana.