CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

Ukizingitia kuwa hao ndiyo wamelishwa sumu ya kutovaa barakoa
 
Ombeni lkn hamtapata unafuu - kitatoka chuma kitaingia chuma
 
Mkuu mbona umeshakwama? Wewe ndiyo umetumwa na Pole pole au tusubiri mwingine?
 
Madame Mama Samia hawataki wapumbavu na wauaji kama wewe. Ndio maana alisema tufutane Machozi.
 
Bahati mbaya umedefine demokrasia kwa kuchukulia kuwa ni idadi ya miaka anayoshika kiti kiongozi. Haujazungumzia katiba inavyozungumzia muda huo
 
Sasa kama ni hivyo mbona Jakaya kasema yeye aliingia na majina 5 mfukoni akitokea nyumbani kwake. Huku akirumbana na kamati kuu juu ya Magufuli. Sasa wewe unataka kusema CCM kuna demokrasia gani. Hii tabia ya wana CCM kuchukulia msiba wa JPM kuanza kuletea upinzani chuki naona itakuja kuligawa taifa letu. Nilitegema mtu mzima kama wewe uje na hoja shindani sio hiyo mihemko iliyojaa chuki utadhani Mbowe ndiyo kamuua Magufuli. Acha chuki sasa hivi hili taifa linataka kutulia wew mataga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa siyo uadui!
 
Hivi chadema bado haijafa tu ?
 
Wewe Ni sadist na soon ugonjwa wa moyo utakuondoa
 
Sasa si usubiri tumalize maombolezo😭!?
 
huyu mtoa mada ni wa wapiiiiiii?
Ni wa CCM toka Kijiji cha Chato kinachoomba kuwa Mkoa, maana hakuna mjinga hata wa CCM toka Tunduma au Mererani anaweza kuandika hata kusema tu upumbavu kama huo maana tayari kuna mengi ya kijinga yanatoka huko kwa madai ya kumuenzi Magufuli ambaye ameanza kuyazoea makazi yake mapya mita 2 chini ya Chato Mkoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…