CCM - baada ya kifo, maombolezo na mazishi ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli - tutawakabili CHADEMA, ACT, NCCR, CUF - Ofisi zao watafugia kuku

Dawa ya wauaji ni moja tu.Maombi.
Kesho nafunga.Ikifika 27 Aprili utapata majibu
 
Nadhani mngeanzia na kukirudisha chama kwa wananchi kwanza.
Kwa sababu mtu mwenye kufikiri vizuri atagundua mambo mawili.
(1) "aliye simama hapa ni rais wa JMT".
(2) Kwa nini CDF alihutubia kwenye maziko ya Dr. Magufuli?

Nchi imewashinda na sasa jeshi limetangaza hadhani kuchukua madaraka ya nchi, ila hili halionekani kwa mamcho bali kwa kufikirisha akili.
 
Imeanza awamu ya tatu ya corona,subiria mziki wake. Kwa jinsi mlivyorundikana bila tahadhari Dar,Dom,Zenji,rock cty,..home region... Imenikumbusha kampeni ya mwaka jana. Sayansi haidanganyi,..
 
Ndani ya CCM mliishi kwa mashaka na mfarakano.
 
Mtu akitokea kigoma tu ni tatizo tosha.
Eti na wewe unataka wakuachie ugombee urais wa JMT kupitia CCM!
 
Umoja gani wa kitaifa mlikuwa nao toka nyuma huko?
Kwa mkapa mliandamana na watu wakafa, n a kwa kikwete ndo mkasema serikari haitawaliki na maanadamano kila siku, sasa umoja gani unazungumzia?

Au umelewa gongo tayari?
 
Tunawasubili watani zetu wa kisiasa,kwa ham,lakini mjipange mziki wa chadema sio wa kitoto
 
Tunawasubili watani zetu wa kisiasa,kwa ham,lakini mjipange mziki wa chadema sio wa kitoto
Mpaka mtoke ubelgiji, na Canada - OK tutajitahidi kuwafundisha siasa na demokrasia kwa mtizamo wa nchi za kiafrika
 
Mtu akitokea kigoma tu ni tatizo tosha.
Eti na wewe unataka wakuachie ugombee urais wa JMT kupitia CCM!
Hayo umeyasema wewe - hata kama ningetaka au kuwa na mpango huo kwani wanaogombea wana madoa madoa kama ya chui
 
Huu mwandiko umekaa kiChattle Chattle[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Zwazwa katika ubora wake... Watu tunaomba umoja urudi wewe kwa kulinda tumbo lako na kujipendekeza unawanga kuturudisha tunapopambana kutoka... Pengine huna uwezo hata wa kukimbiza kuku na kuikamata...

Baada ya maombolezo ni restoration ya amani na umoja... Kenge wewe.
 
Huu ujinga washirikishe mazwazwa wenzako wa CCM. Msijione kama nchi hii ni mali yenu, Tanzania ni kwa Watanzania wote. Mawazo ya kichawi kama haya ndiyo mumeona matokeo yake wala hamjajifunza kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…