Huyu bila shaka ni mojawapo wa member wa praise team katika kusifu na kuabudu ambapo kwa sasa hawana kazi baada ya wanayemwabudu kutangulia mbela za hakiUnavojishaua as if una uwezo hata wa kuendesha mtaa achilia mbali familia yako... Mama Samia si mtu wa mapambio na misifa... Pole
Acha kuwatishia watu nyau wewe! Watu wenyewe mlenda mlenda tu!
Huyu bila shaka ni mojawapo wa member wa praise team katika kusifu na kuabudu ambapo kwa sasa hawana kazi baada ya wanayemwabudu kutangulia mbela za haki
Akimaliza kukaa eda akili zitamrudiaHuyu bila shaka ni mojawapo wa member wa praise team katika kusifu na kuabudu ambapo kwa sasa hawana kazi baada ya wanayemwabudu kutangulia mbela za haki
Mmepata wenyeviti wanne kwa kupigiwa kura hewa,kura za NDIO MZEE TUMEKUBALI UWE MWENYEKITI[emoji3][emoji3]NDIO UNAITA DEMOKRASIA?AISEE LEO BUKU SABA HUPATINdugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Post #48 ... nasubir majibu..kwa hamu MAANA wamezidi aisee,OMBA mkuu HUYU jamaa nae apite hivi..Dawa ya wauaji ni moja tu.Maombi.
Kesho nafunga.Ikifika 27 Aprili utapata majibu
Wewe punda unaongea nini? Ebu ondoa usukuma wako huko...Mfalme wenu hayupo tena, madudu yake yameanza kuibuliwa tena. muwe na aibu ninyi.Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
Jah Kaya kashasema jinsi mgombea wenu alivyopatikana 2015, jina alilileta yeye na kwa maamuzi yake akaliweka 5 bora,Ndugu Wana - CDM, ACT, NCCR, CUF hii ni taarifa kwenu kwamba baada ya kuhitimisha siku 21 za maombolezo ya kiongozi wetu Hayati Dkt John Pombe Magufuli sasa tutaelekeza nguvu zetu ktk kuwashughulikia kisiasa.
Demokrasia mnazoimbia Tanzania, Ubelgiji na Canada hatutataka kuzisikia - mkitaka demokrasia anzieni kwenye vyama vyenu vya siasa
- CHADEMA mbona mwenyekiti wenu kaongoza kwa mabavu kwa takriban robo karne lkn hamumfukuzi uenyekiti?
- ACT mbona kiongozi wa chama hakushirikisha mchakato wa kupata mgombea urais (Membe) lkn hamumfukuzi uongozi na uanachama?
- NCCR mbona mwenyekiti wenu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 20 lkn hamjamjadili kumuondoa ili apishe vijana wengine?
- CUF mbona mwenyekiti wenu ameongoza chama kwa miaka zaidi ya 25 pamoja na kujiuzuru na kurudi tena mbn hamjamfukuza uenyekiti na uanachama?
Demokrasia mnazoimbia majukwaani mbona hamzitendi kwenye vyama vyenu? Mbona hamjifunzi kutoka CCM ambayo tangu kuasisiwa kwa vyama vya siasa kimeshapata wenyeviti 4.
Charity starts at home - kama hamtafanya marekebisho CCM tupo tayari kugeuza Ofisi zenu kuwa mabanda ya kufugia kuku.
nani kasema anataka kuchekewa?Sahau - nchi iko imara na hakuna muda wa kuwachekea tena
Wakati tunakuwa na wenyeviti 4, ninyi mna mwenyekiti mfalme "King" afu nje mnataka demokrasia - anzieni ndani kisha mje huku.Mmepata wenyeviti wanne kwa kupigiwa kura hewa,kura za NDIO MZEE TUMEKUBALI UWE MWENYEKITI[emoji3][emoji3]NDIO UNAITA DEMOKRASIA?AISEE LEO BUKU SABA HUPATI