CCM: Bado kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu

CCM: Bado kuna tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu

Miradi ya Samia iko wapi
Hakuna miradi ya Samia. Bali kuna miradi ya Serikali. Rais anapopata madaraka na kuacha kumaliza miradi aliyoanzisha mtangulizi wake ni KICHAA.

Magufuli alishindwa kumaliza Bomba la Gesi na bamdari ya Bagamoyo
 
Chama kinamchagua mtu aliyeshindwa kuongoza mkoa wa Arusha kushika eti nafasi ya juu.

Kijana makonda anadai Arusha ilikwama kila mahala Sasa anapambana kuikwamua LAKINI shangaa aliyekuwa RC Chuga kapandishwa cheo kapewa cheo kikubwa chamani.

Huu ni uthibitisho wawazi kuwa tunaviongozi wasio kabisa na uwezo ila majina,kujipendekeza na kujuana ndiyo vinawabeba!!

Huwa najiuliza hivi mazaa akipewa tuu mwendokasi asimamie atawezaa? Acha bandari,Acha ATCL hiyo tuu UDART asingeweza lolote Sasa anafukuzaje watu kazi kwa kushindwa kuongoza wakati mwenyewe tukimpima hawezi kuongoza hata wilaya.
😞😞😞😞 this is a very sad TZ!!! Alafu tunaulizana eti kwanini hatuendeleiiiii???😂😂😂 Daaah!!
 
Nina amini katika kuandaa Dira ya Taifa ili kila kiongozi akiwa madarakani aifuate.

Hili la kusema yule ni bora kuliko yule, maana yake ni kwamba nchi inamtegemea mtu badala ya dira ya Taifa.

Ugonjwa mkubwa Tanzania ni ukosefu wa mipango.
Hapo Umenena.

Hata hivyo hatuwezi kuendelea kwa kufanya Ulinganishi na nchi zingine na kupuuzia Uzalendo.
 
Chama kinamchagua mtu aliyeshindwa kuongoza mkoa wa Arusha kushika eti nafasi ya juu.

Kijana makonda anadai Arusha ilikwama kila mahala Sasa anapambana kuikwamua LAKINI shangaa aliyekuwa RC Chuga kapandishwa cheo kapewa cheo kikubwa chamani.

Huu ni uthibitisho wawazi kuwa tunaviongozi wasio kabisa na uwezo ila majina,kujipendekeza na kujuana ndiyo vinawabeba!!

Huwa najiuliza hivi mazaa akipewa tuu mwendokasi asimamie atawezaa? Acha bandari,Acha ATCL hiyo tuu UDART asingeweza lolote Sasa anafukuzaje watu kazi kwa kushindwa kuongoza wakati mwenyewe tukimpima hawezi kuongoza hata wilaya.
😞😞😞😞 this is a very sad TZ!!! Alafu tunaulizana eti kwanini hatuendeleiiiii???😂😂😂 Daaah!!
Hivi wewe mwenyewe unaelewa ukuchoandika hapo? Mbona kama maji na mafuta yamechanganyika
 
Kitu kinachoshangaza sana pamoja na kujitenga na siasa za kimataifa na uhusiano pia na ziara nchi za nje lakini Hayati Raisi John M alitafutwa zaidi habari zake mtandaoni, wapo mpaka wazungu Australia walipenda falsafa zake hasa za kukata safari za nje za watumishi na viongozi ili kubana matumizi. Hakuna raisi wakenya walimpenda na kumu admire kama The late John PM. sijapata majibu lakini nazidi kushangaa maana Raisi wa sasa amefungua nchi, ana fanya ziara nyingi tuu, anahudhuria mikutano yote lakini ha trend online wala midomoni.
Nadhani tumpe muda matendo ndio yatakayomtangaza zaidi kuliko ziara na kusafiri sana. Bahati mbaya mama amakabiliana na Vita vya Ukraine, Mtikisiko wa uchumi huko marekani unaopelekea maisha hapa nchini kuwa aghali sana. Her approval ratings kwa mujibu wa Tz on twitter perception ndogo sana nadhani tumuunge mkono atatupeleka nchi ya ahadi lami kila mtaa, umeme hakuna kukatika petroli irudi 2500 per litre.
Hata Idd Amin Dadah alitrend zaidi ya Mwalimu Nyerere
Issue ni untrend kwa nini
 
Bado kuna baadhi ya tofauti kubwa kati ya Tanzania ya Magufuli na Tanzania ya Rais Samia Suluhu.
Hapa ni baadhi ya mambo muhimu:

1. Uongozi na Mtazamo: Rais Magufuli alikuwa na mtazamo tofauti kuhusu masuala ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ikilinganishwa na Rais Samia. Magufuli alijikita sana kwenye masuala ya kuzuia uhasimu na udanganyifu, wakati Rais Samia anadhamiria kujenga umoja na kuimarisha hali ya ushirikiano.

2. Sera za Kiuchumi: Chini ya Magufuli, Tanzania ililenga uwekezaji mashambulizi na kuzuia biashara. Lakini Rais Samia anafokusa zaidi katika kuimarisha mazingira mazuri ya kufanya biashara na kuongeza ushirikiano na washirika wa kibiashara.

3. Uhusiano na Nchi Nyingine: Magufuli alijihusisha kidogo na nchi nyingine, hasa za nje ya Afrika. Lakini Rais Samia amekuwa akizidi kuimarisha uhusiano na washirika mbalimbali, ikiwemo nchi za Ulaya na Amerika.

4. Masuala ya Kijamii na Haki za Binadamu: Chini ya Magufuli, Tanzania ilikuwa na changamoto kubwa kwenye masuala ya haki za binadamu na uhuru wa kujieleza. Lakini Rais Samia anajitahidi kuimarisha hali hii na kuboresha haki za raia.

Kwa ujumla, ingawa bado kuna baadhi ya mabadiliko, Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaonekana kuwa na mtazamo tofauti na wakati wa Magufuli. Lakini inachukua miaka 50 kuona mabadiliko kamili.
Uzi toka ijumaa una siku nne unalike 2

Nadhan umeona Jinsi unaempigia debe alivo hakubaliki Hata ccm wenzio wameshindwa kulike😂😂😂
Kuelewa huelewi hata kuona huoni
 
Attachments

  • D7282773-048D-4428-8983-0D3038529B6B.jpeg
    D7282773-048D-4428-8983-0D3038529B6B.jpeg
    808.9 KB · Views: 2
Hakuna miradi ya Samia. Bali kuna miradi ya Serikali. Rais anapopata madaraka na kuacha kumaliza miradi aliyoanzisha mtangulizi wake ni KICHAA.

Magufuli alishindwa kumaliza Bomba la Gesi na bamdari ya Bagamoyo

Sasa hivi vimemalizwa?
 
wengine tumeshawasahau hata kabla hawajafa, legacy inajijenga yenyewe JPM will remain in history for many decades haijjengwi na phd za kununua.
 
Nina amini katika kuandaa Dira ya Taifa ili kila kiongozi akiwa madarakani aifuate.

Hili la kusema yule ni bora kuliko yule, maana yake ni kwamba nchi inamtegemea mtu badala ya dira ya Taifa.

Ugonjwa mkubwa Tanzania ni ukosefu wa mipango.
Kabisa
 
Tofauti kuu ni moja tu yule alikuwa Baba bora na huyu ni mama bora... mwenye D 2 amenielewa
 
Maana yake ni kwamba sasa tupo kwenye business as usual.
 
inahitajika nguvu na akili kubwa ya kupunguza operational cost. Maana mama anajitahidi sana kutafuta pesa kwa njia zote lakini kwa ground hakuna effects ya hizo pesa. maisha yanazidi kuwa aghari, petroli kila mwezi ewura anapandisha, Ajira hazionekani zinaonekana kwenye makabarasha ya viongozi wa ccm tuu.
 
Back
Top Bottom