CCM: Bado sisi tunataka serikali mbili hatutaki serikali tatu ndo msimamo wa chama.

CCM: Bado sisi tunataka serikali mbili hatutaki serikali tatu ndo msimamo wa chama.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Source Majira.

Chama cha mapinduzi kupitia kwa kwa Ombeni Sefue kamaliza dukuduku lililokuwa linashindwa kutamkwa wazi na Mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nnauye juu ya rasimu mpya ya katiba liliweka wazi kuwa katiba ijayo iwe ya serikali tatu.

Bwana Ombeni Sefue kamasema serikali mbili ndo maamuzi ya chama chao na halizwi kupingwa na mwanachama yoyote na serikali mbili ndio utadumisha muungano.

Concern

CCM hawana zaidi ya kuupaka asali muungano lakini hawasemi serikali tatu itavunjaje huo ushirikiano
 
sidhani kama Ombeni Sefue anaweza kusema maneno hayo, hana nafasi ndani ya CCM na pia anavyojua nafasi yake si ya kisiasa, hawezi kusema hayo....sibirini majira watakanusha punde
 
Katibu mkuu kiongozi na mambo ya CCM wapi na wapi?, ila hata mimi binafsi serikali 3 sitaki ila moja sawa.
 
Kwa kumtuma Katibu Mkuu Kiongozi Ombeni Sefue atekeleze kazi za Nape Nnauye CCM si inavunja katiba?

CCM wanapaswa kujua kuwa demokrasia ni wengi wape. Wasiogope serikali tatu, kwani chenye mwanzo kina mwisho.
 
sasa hiyo itakuwa na kauli ya CCM au ya ikulu?!!!
 
kama ni kweli katamka hayo maamuzi ya Serikali mbili inabidi aahie Ngaz kwa nafasi aliyo nayo akatumikie CCM
 
Tusikimbilie kuwahukumu, labda Sefue alikuwa anamaanisha Katiba ya CCM maana Katiba ya Nchi haitokani na misimamo ya Chama!
 
Watu wanaogopa serikal tatu ukiwauliza wanasema gharama?ukwel ni kwamba serikali tatu itawangoa mafisad maana zenj uhh watakuwa hawana chao
 
NI sahihi ulichosema kuna katiba ya chama na katiba ya Nchi ni vitu viwili tafauti kabisa.........sasa kama mwanachama wa chama chochote yeye anatetea katiba ya chama na kuilinda pia anapokuwa Rais pia anatetea vitu viwili kwa same time bi maana katiba ya Nchi na ya chama..................So JK anawaweza kuhitaji mabadiliko kuwa serikali 3 mfano jamani laki9ni chama kinasema serikali mbili...............lakini kuchange si dhambi namnukuu jamaaa alisema kuwa inafika wakati lazima tuondoe hizi tafauti ili tukae kwa amani.......hayo ya JK unahisi nini atakifanya? usichoke kujiuliza aliposema cku hyo hyo cha kukabidhiwa rasimu yeye na Shein " msishangae kukuta mambo mageni mengne ambayo hamkuyasema tume inahaki ya kuchambua na kuongea jambo zuri" mmhhh JK kuna mengi ya suprise......me jamani siamini kuwa serikali 3 ni kuvunjika Muungano na ukiona CCM wamekubali ujue hakuna madhara na kingne serikali 3 ni yale yale kwani serikali yenye nguvu itakuwa ya UNITED REPUBLIC OF TANZANIA so Rais wa Tanzania atabaki kuwa ananguvu na hatuwezi kumuweka Rais mbabaishaji atayehatarisha amani ya Nchi so ni vile vile kuwa " wamebadilisha chupa mvinjo ni ule ule" zanzibar wanapenda kuona neno Tanganyika likitumika huko Bara.......Je kutakuwa Tanganyika au Tanzania Bara?......Bado nasubiri surprise za Super Handsome JAKAYA KIKWETE na HANDSOME BOY DR. SHEIN
 
Sidhani CCM hua wanawaza kwa kutumia nini!!!!! Wao sio wawakilishi wa Wananchi wote Tanzania
 
Hii ya serikali mbili ccm wameshapigwa tobo kuanzia mabeki mpaka goalkeeper,wasahau serikali 3 ndio inajustification.
 
Kwani watanzania wooote ni wanaCCM. wanaosema serikali mbili ni watanzania kwa wingi wao! CCM wao wabaki vichwani mwao na serikali mbili!!
 
Source Majira.

Chama cha mapinduzi kupitia kwa kwa Ombeni Sefue kamaliza dukuduku lililokuwa linashindwa kutamkwa wazi na Mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nnauye juu ya rasimu mpya ya katiba liliweka wazi kuwa katiba ijayo iwe ya serikali tatu.

Bwana Ombeni Sefue kamasema serikali mbili ndo maamuzi ya chama chao na halizwi kupingwa na mwanachama yoyote na serikali mbili ndio utadumisha muungano.

Concern

CCM hawana zaidi ya kuupaka asali muungano lakini hawasemi serikali tatu itavunjaje huo ushirikiano
hivi na huyu sifune ni kiongozi wa ccm au wa serikali? nashindwa kuelewa.
halafu nyie magamba mjue serikali 3 ndo mpango mzima sasa. otherwise mnapoteza muda wenu tu.
 
Source Majira.

Chama cha mapinduzi kupitia kwa kwa Ombeni Sefue kamaliza dukuduku lililokuwa linashindwa kutamkwa wazi na Mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nnauye juu ya rasimu mpya ya katiba liliweka wazi kuwa katiba ijayo iwe ya serikali tatu.

Bwana Ombeni Sefue kamasema serikali mbili ndo maamuzi ya chama chao na halizwi kupingwa na mwanachama yoyote na serikali mbili ndio utadumisha muungano.

Concern

CCM hawana zaidi ya kuupaka asali muungano lakini hawasemi serikali tatu itavunjaje huo ushirikiano
lakini mwenyekiti wa ccm yuko tofauti na wanachama wake yeye anasema maoni ya wengi yafuatwe sasa hayo ya msimamo yanatoka wapi?
 
Tunataka Tanganyika yetu...serikali mbili au tatu HATUTAKI..anayepinga apigwe tu
 
CCM inataka serilkali 2. Hakuna mwana CCM atakayepinga ikiwa ni pamoja na Mwenyekiti wake!
 
hivi na huyu sifune ni kiongozi wa ccm au wa serikali? nashindwa kuelewa.
halafu nyie magamba mjue serikali 3 ndo mpango mzimaw sasa. otherwise mnapoteza muda wenu tu.

Hawa ndio huwa wanatuma vyombo vya dola kuua watu ili mradi waendelee kumaintain vyeo vyao. Shame on you!
 
Back
Top Bottom