CCM: Bado sisi tunataka serikali mbili hatutaki serikali tatu ndo msimamo wa chama.

CCM: Bado sisi tunataka serikali mbili hatutaki serikali tatu ndo msimamo wa chama.

Uhalali wa serikali 3 jaji warioba ameutolea ufafanuz mbele ya kikwete.Sasa watz wa CCM nawashangaa! 1)Tatizo nn? 2)Au kama ser 3 zitakuwepo ninyi kama chama mtakosa nn? 3) Tunajua tuhuma za kifasadi na mafisad weng na mtandao imara kwenye hili,je Ser3 michongo itakwama?
 
Watu wanaogopa serikal tatu ukiwauliza wanasema gharama?ukwel ni kwamba serikali tatu itawangoa mafisad maana zenj uhh watakuwa hawana chao

Aliekuwa hawana chao ni wadanganyika,zenji wana katiba yao,lini maoni ya wadanganyika yatakusanywa kupata katiba ya wadanganyika?
 
Back
Top Bottom