Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
hivi na huyu sifune ni kiongozi wa ccm au wa serikali? nashindwa kuelewa.Source Majira.
Chama cha mapinduzi kupitia kwa kwa Ombeni Sefue kamaliza dukuduku lililokuwa linashindwa kutamkwa wazi na Mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nnauye juu ya rasimu mpya ya katiba liliweka wazi kuwa katiba ijayo iwe ya serikali tatu.
Bwana Ombeni Sefue kamasema serikali mbili ndo maamuzi ya chama chao na halizwi kupingwa na mwanachama yoyote na serikali mbili ndio utadumisha muungano.
Concern
CCM hawana zaidi ya kuupaka asali muungano lakini hawasemi serikali tatu itavunjaje huo ushirikiano
lakini mwenyekiti wa ccm yuko tofauti na wanachama wake yeye anasema maoni ya wengi yafuatwe sasa hayo ya msimamo yanatoka wapi?Source Majira.
Chama cha mapinduzi kupitia kwa kwa Ombeni Sefue kamaliza dukuduku lililokuwa linashindwa kutamkwa wazi na Mwenezi wa chama hicho bwana Nape Nnauye juu ya rasimu mpya ya katiba liliweka wazi kuwa katiba ijayo iwe ya serikali tatu.
Bwana Ombeni Sefue kamasema serikali mbili ndo maamuzi ya chama chao na halizwi kupingwa na mwanachama yoyote na serikali mbili ndio utadumisha muungano.
Concern
CCM hawana zaidi ya kuupaka asali muungano lakini hawasemi serikali tatu itavunjaje huo ushirikiano
hivi na huyu sifune ni kiongozi wa ccm au wa serikali? nashindwa kuelewa.
halafu nyie magamba mjue serikali 3 ndo mpango mzimaw sasa. otherwise mnapoteza muda wenu tu.