Uchaguzi 2020 CCM bila wasanii mambo hayaendi?

Uchaguzi 2020 CCM bila wasanii mambo hayaendi?

hito

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2018
Posts
501
Reaction score
913
Nimeona Leo mgombea ubunge jimbo la Kaliua ndugu Aloice Kwezi gari la matangazo wanasema na wasanii watakuwepo FM. Akademia tena huku ni vijijini ambako mmekuwa mkijinasibu ndio kura zenu zipo wasanii wa nini sasa.

Kiukweli kabisa wananchi wanawapuuza sana CCM mmekosa sana mvuto. Hivi babu anakuunga mkono kweli maana alivyo yule mzee Kapuya alishinda kwenye kura za maoni halafu akakatwa una wakati mgumu sana ndugu yangu.

Sakaya nae alibebwa na upepo wa ukawa mwaka huu halo ni tete sana. CHADEMA nao mgombea wao hata hajulikani kabisa kampeni hapigi sa sijui wanawaza nini.
 
Hapa hutaona comment za ufipa maana umetaja na wao hawajulikani walipo.
 
Na baada ya October uje useme hivyo hivyo
 
Chadema nao mgombea wao hata hajulikani kabisa kampeni hapigi sa sijui wanawaza nini.LOL[emoji23][emoji23]
 
Meko hata kiswahili kinamshinda. Bila kuwabeba akina King Kiba hakuna Mtanzania ataenda kusikiliza utopolo wake wa kisukuma.
 
Back
Top Bottom