Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Dear comrades, nimewaita mara tatu hapo juu. Kuna watu wengi ni viongozi wazuri sana ila laki 5 sio rahisi sana kwao. Tusiwapoteze!!!.
Mmeweka siku chache sana na huku wengine bado wanajikusanya kusaka laki 5 za fomu za ubunge.
Comrades Mheshimiwa Rais Samia, Dr Nchimbi, CPA Makala na Mongela fanyieni kazi hili. Uwepo wa wagombea wengi ni fursa ya kuwapata watu wazuri na mchujo mzuri .
Chondechode refusheni muda kidogo.