CCM, CHADEMA, CHAUMMA, CUF, ACT, NGOs kesho Kwa pamoja kujadili faida za PPP katika kufikia malengo ya Dira ya Taifa ya 2050

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,535
Reaction score
2,226

View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY

===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.

Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa nchi vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.

Kesho ni vita ya maneno kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.

Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya tathimini na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara Kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.

Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa vimealikwa kuhudhuria kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.

Kesho ni vita ya kimijadala kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.

Huyu Mukandala ni chawa wa Kikwete miaka yote he is indirectly connected to furthering Samia’s agenda through Kikwete! He is distracting people from engaging in urgent national issues by organizing these stupid seminars!
 
Kama upo jirani jitahidi ufike ukaseme maneno yako hayo
 
Acha zako kaka TANZANIA HAINA DIRA 🤣🤣 kila mtawala akiingia anaweka dira yake ya 10 years kuwa billionea then mtajijua.

Wenye dira AFRICA ni wachache
TANZANIA TUNA DERA
Labda ndio maana wameita na vyama vya siasa vyote kuhudhuria
 
Kama upo jirani jitahidi ufike ukaseme maneno yako hayo
Nyie machawa ndio mtakaokwenda huko kutetea Ufisadi wenu wa kuangamiza nchi kwa kuingia mikataba na mafisadi wakina Adani group ambao wenzenu wenye uzalendo wa nchi yao Kenya wameilazimisha serikali kuvunja mikataba nao : nyie na Samia wenu wakati wenzenu wanawafukuza Adani group kwa Ufisadi nyie mnawakumbatia; aibu!
 
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY

Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya tathimini na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara Kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.

Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.

Kesho ni vita ya kimijadala kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.

Kama Heche atakuja hili kongamano halitaisha
 
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY

===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.

Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa nchi vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.

Kesho ni vita ya maneno kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.

===

Nitakuwepo, 🤓
 
PPP na vyama vya siasa wapi na wapi?
Hilo ni kongamano la wajinga watupu.
Uchafu mtupu.
 
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY

===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.

Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa nchi vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.

Kesho ni vita ya maneno kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.

===

Ma chadema ya nini?
 
CHADEMA tutoe hapo
 
Hongera PPP
 
Back
Top Bottom