Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,535
- 2,226
Huyu Mukandala ni chawa wa Kikwete miaka yote he is indirectly connected to furthering Samia’s agenda through Kikwete! He is distracting people from engaging in urgent national issues by organizing these stupid seminars!
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya tathimini na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara Kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa vimealikwa kuhudhuria kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.
Kesho ni vita ya kimijadala kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.
Kama upo jirani jitahidi ufike ukaseme maneno yako hayoHuyu Mukandala ni chawa wa Kikwete miaka yote he is indirectly connected to furthering Samia’s agenda through Kikwete! He is distracting people from engaging in urgent national issues by organizing these stupid seminars!
Labda ndio maana wameita na vyama vya siasa vyote kuhudhuriaAcha zako kaka TANZANIA HAINA DIRA 🤣🤣 kila mtawala akiingia anaweka dira yake ya 10 years kuwa billionea then mtajijua.
Wenye dira AFRICA ni wachache
TANZANIA TUNA DERA
Nyie machawa ndio mtakaokwenda huko kutetea Ufisadi wenu wa kuangamiza nchi kwa kuingia mikataba na mafisadi wakina Adani group ambao wenzenu wenye uzalendo wa nchi yao Kenya wameilazimisha serikali kuvunja mikataba nao : nyie na Samia wenu wakati wenzenu wanawafukuza Adani group kwa Ufisadi nyie mnawakumbatia; aibu!Kama upo jirani jitahidi ufike ukaseme maneno yako hayo
Kama Heche atakuja hili kongamano halitaisha
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya tathimini na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara Kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.
Kesho ni vita ya kimijadala kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.
Nitakuwepo, 🤓
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa nchi vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.
Kesho ni vita ya maneno kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.
===
Hata wawaite wananchi hii NCHI kila mtawala atakula tu kuvyakeLabda ndio maana wameita na vyama vya siasa vyote kuhudhuria
🤣atakuwepo naonaKama Heche atakuja hili kongamano halitaisha
Ma chadema ya nini?
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa nchi vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.
Kesho ni vita ya maneno kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.
===
Mdogo sana huyo, hana hoja za nguvu zaidi ya kukaza uso tu na kurefusha mdomo wakeKama Heche atakuja hili kongamano halitaisha
CHADEMA tutoe hapo
View: https://youtu.be/1f_r4K23h0c?si=JryS33KdwjyIkuCY
===
Mkurugenzi wa Mtendaji wa taasisi ya Utafiti na demokrasia Prof Rwekeza Mukandara kwa mashirikiano na kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC wameandaa kongamano kubwa na la kihistoria litakalofanyika Chuo kikuu Cha Dar es salaam.
Pamoja na waalikwa wengine vyama vyote vya siasa nchi vimealikwa kuhudhuria bure kongamano hili bila Kukosa siku ya Jumanne ya tarehe 27/05/2025 kuanzia saa 2:30 Asubuhi.
Kesho ni vita ya maneno kati ya mtu na mtu au kati ya chama na chama, Hakikisha unafuatilia kila Kitu kesho.
===
MsikimbieCHADEMA tutoe hapo
Hongera PPP