Cynic
JF-Expert Member
- Jan 5, 2009
- 5,144
- 1,651
- Wakuu heshima mbele sana, kikao kimehamishiwa Ikulu ...
FMEs!
Ikulu imekua pango la walanguzi ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Wakuu heshima mbele sana, kikao kimehamishiwa Ikulu ...
FMEs!
You are probably the most optimistic person remaining here..
DayDreaming!I still think JK is about to wake up. It might not be today or tomorrow but sometime soon. Admittedly, it is nearly imposible for JK to take action against Mafisadi who make up the most powerful bodies of CCM: CC & NEC. However, at some affordable costs to himself and to his party, as the president and chairman of CCM, JK can act independent of CC and NEC for the good of the country. I think he will.
Nimeshindwa hata kuona sababu za bendera zetu kupepea zikiwa juu na si upside down matching with the position of our priorities as a nation.
Yuko ThailandHalafu ndugu zangu kama mmegundua hili kikao, nadhani mh spika hayupo ktkt kama sikosei yupo ktk ziara nje ya nchi
- Wakuu heshima mbele sana, kikao kimehamishiwa Ikulu na kimeanza toka Asubuhi sana na sasa kinaendelea, the dataz huko ndani ni kwamba so far hakuna cha maana kilichokwisha zungumzwa, mi-agenda mingi imetajwa lakini nothing serious on masilahi ya taifa, kwa hiyo wale mliotabiri kwamba hakuna lolote huko, so far mko ahead of the game ingawa the game is not over yet!
Tutarudi kuleta dataz zaidi kama kutakua na lolote serious mwishoni mwa kikao kinachoendelea sasa hivi ninapoandika, otherwise tutasubiri NEC. Inakatisha tamaa na kusikitisha sana, lakini it is what it is tunaendelea ku-hold on to the hope kwamba one of this days au kwenye hii NEC, huenda Muungwana atafanya kweli
Mungu Aibariki Tanzania.
Respect.
FMEs!
FMEs,
Shukurani sana kwa update; nina kaswali kadogo .... hivi ni kwa nini JK anaitwa Muungwana ?! ..... au kuna definition nyingine ya hilo neno?
FMEs,- Wakuu JF heshima mbele sana, According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Mwenyekiti wa CCM taifa ameitisha vikao vya dharura, yaani Kamati Kuu ya CCM Tarehe 28/3/10 na kingine cha NEC Tarehe 8/4/10 na kwamba ameamuru vikao vyote vifanyike Dar, Karimjee Hall,
- Kinachotisha hapa according to the dataz ni agenda ya hiyo mikutano miwili muhimu ambazo inasemekana anazo yeye mwenyewe kinyume na kawaida ya kutayarishwa na Katibu Mkuu, ambaye inaelezwa aliachwa solemba na Mkulu, alipojaribu kuitisha Secretariat ili ku-set agenda ya hivi vikao!
- Tayari kuna viongozi wameanza kuingiwa na homa kali kuhusiana na hii dharura, ambayo inaaminika kwamba kuna la mgambo nyuma yake kutokana na lugha ya ukali aliyoitumia Mkulu! Hali ya hewa ikitulia nitamwaga some more dataz sasa hivi noma, aahhggrr JF Where we dare mwanangu!
Respect.
Field Marshall Es = Wazee Wa Sauti Ya Umeme!
Duh kwa hiyo FMES kikao kimeisha? Na porojo ni zile zile na washukiwa wanapeta kama kawa dah! Nasikia kihindi kihindi tu.
FMEs,
Respect back..thanx for the updates.nimekuwa nafuatilia sana hoja ambazo unazianzisha au kuzichangia hapa JF.Nimezikubali mkuu,,nimekubali kwamba una wigo mkubwa sana kuhusu siasa..am very interested kujua profesional yako na mlengo wako kisiasa.manake sijaona ukitetea upande au chama au kiongozi yeyote ila umekuwa unamwaga facts kuhusu mambo yanavyokwenda.naomba nijibu hapa au nitumie PM.Thanx alot and GOD bless u!!