CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

You are probably the most optimistic person remaining here..

Mwanakijiji, my sixth sense has been always right. I believe JK is weighing costs and time against his carreer. He can't afford dismantling CCM now but after general election. Unfortunately for him his Mafisadi friends know the trade-off he is facing and are ahead of him.
 
DayDreaming!
 
Nimeshindwa hata kuona sababu za bendera zetu kupepea zikiwa juu na si upside down matching with the position of our priorities as a nation.

Ben, yaani umenifurahisha na bendera kupepea upside down!! Very relevant lakini, kama tukiomboleza inakuwa nusu mlingoti lazima tuwe na namna ingine ya kuipeperusha tukiwa katika hali kama tuliyo nayo sasa hivi.

Mgonjwa wa UKIMWI, kama kweli Mh Rais anaelekea kuamka na hawezi kufanya anachotaka kwa ajili kazungukwa na mafisadi, basi atoke CCM!! Agombee kupitia chama kingine!! Tena itakuwa bonge la kampeni
 
Hakuna mwenye ubavu huo wa kuondoka CCM sembuse Raisi mwenyewe?
Alijaribu Mrema sasa hivi unaweza ukasema amepagawa. Mfumo mzima wa uongozi wa CCM unawaacha viongozi kuwa na uchu wa madaraka kiasi hicho kwamba haitaweza kutokea kirahisi. Na sababu nyingine kubwa ikiwa kwamba huna tatizo la kuwajibika sana kwa wananchi una hakika ya vipindi viwili na baadaye hakuna anayeweza kukuuliza hata kama umefanya madudu kiasi gani na kubakia kana kwamba bado ni Raisi almost 25% so long as you are alive. Sasa nani aondoke? aende wapi? na wakati watanzania tunapenda rahisi rahisi tu. I don't see it happening.
 
Halafu ndugu zangu kama mmegundua hili kikao, nadhani mh spika hayupo ktkt kama sikosei yupo ktk ziara nje ya nchi
 
yapi yameamliwa huko kikaoni

au hakijafanyika?
 
Wiziiiiiiiiiiiiiii mtupuuuuuuuuuuu hakuna loloteeeeeee la maana.
 
Ok story hii ndo imefikia hapo kama si mwisho. Let me go on with the "DO NOTHING" theory at least at this time.
 
CCM ndio zindiko lenu Wabongo.. Hahaaaaaa!!!!!!1
 

FMEs,

Shukurani sana kwa update; nina kaswali kadogo .... hivi ni kwa nini JK anaitwa Muungwana ?! ..... au kuna definition nyingine ya hilo neno?
 
FMEs,

Shukurani sana kwa update; nina kaswali kadogo .... hivi ni kwa nini JK anaitwa Muungwana ?! ..... au kuna definition nyingine ya hilo neno?

- Mkuu wangu heshima sana, jina la Muungwana nilimpa mimi hapa JF kwa kuheshimu sana ustaarabu wake Rais wa sasa, nikiwa na maana ukiweka ishus za uongozi wake pembeni, JK ni mstaarabu sana kama bin-adam na kwamba mpaka leo pamoja na ufalme wake bad hajamsahau bin-adm mwenziwe yoyote yule anayemfahamu hata kabla ya kua Rais, ni mvumilivu na sio mtu wa hasira hasira na mabavu, ni mtu mwenye kutabasamu all the time,

- Lakini mind you anapotaka kutimiza anything anatimiza huku akitabasamu, kama huamini muulize Lowassa jinsi alivyomtema kwenye uwaziri mkuu, alikua anatabasamu kama kawa!

- I hope nimeksuaidia mkuu!

Respect.


FMEs!
 
Duh kwa hiyo FMES kikao kimeisha? Na porojo ni zile zile na washukiwa wanapeta kama kawa dah! Nasikia kihindi kihindi tu.
 
FMEs,
Respect back..thanx for the updates.nimekuwa nafuatilia sana hoja ambazo unazianzisha au kuzichangia hapa JF.Nimezikubali mkuu,,nimekubali kwamba una wigo mkubwa sana kuhusu siasa..am very interested kujua profesional yako na mlengo wako kisiasa.manake sijaona ukitetea upande au chama au kiongozi yeyote ila umekuwa unamwaga facts kuhusu mambo yanavyokwenda.naomba nijibu hapa au nitumie PM.Thanx alot and GOD bless u!!
 
Duh kwa hiyo FMES kikao kimeisha? Na porojo ni zile zile na washukiwa wanapeta kama kawa dah! Nasikia kihindi kihindi tu.

- Kikao kimeisha mkuu jana usiku, yamesemwa mengi sana na agenda nyingi sana, lakini JF tunachojali ni masilahi ya taifa, kwenye hizo line hakukuwa na anything serious, lakini kwa kuwa siasa ni a very dirty game sitashangaa kukawa na moto mkali sana kwenye NEC ya tarehe 8,

- Otherwise, bina-dam akipoteza hope anakufa kiroho we do not want that, kwa hiyo tunaendelea kuasubiri one day Muungwana afanye kweli, ninaamini kwamba kuna siku atafanya kweli maana mpaka leo bado sijasahau maneno yake mengi wakati wa kampeni zake za Urais. Siamini kwamba ngwe yake ya pili itaisha bila kuwalima viongozi magoi goi!

Respect.


FMEs!
 

- Heshima mbele sana mkuu, nitakutafuta kwenye PM.

Respect.


FMEs!
 
Nilifikiria tu kwamba tujadili yale yalijadiliwa na hiyo NEC hapo Ikulu kuliko kupoteza muda wa kujadili kwamba CCM imefanya makosa kufanyia hicho kikao hapo Ikulu.
Jamani sikilizeni; Kuna protocol za raisi na ofcourse za chama tawala. Na hasa kwa nchi yetu ambapo CCM mwenyekit wake ndio raisi pia.
Wale mnajaribu kulinganisha hiki kitendo na nchi nyingine naomba mfanyae utafiti, vizuri, Ukiangalia Marekani, Rais kama akitaka kukutana na Demoratic Senators, anawaita pale Ikulu. Mikutano mingi nyeti iinayohusu masenatora wa Democratic au Republicans, kama imetitwa na Raisi basi itafanyika pale White House, so ikitokea kwetu wa watanzania mnaona ni kosa...hiyo ndio power ya raisi na chama tawala.
Sasa basi mwenye datas za maana zilizojili kwenye mkutano amwage, na ndio tujadili zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…