Japhet mbali
Member
- Dec 29, 2019
- 9
- 13
Japo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi ambayo hata sisi tusio na chama tunaona jinsi Mh. Raisi wetu kajitahidi sana katika mambo kadhaa ambayo yanaonekana kuwa na tija katika nchi yetu.
Hivyo ni bora hata timu ya kampeni ya CCM ikaamia katika jimbo atakalogombea Ndg. Zitto ilimradi CCM ilipate jimbo hilo kwa ushindi wa kishindo ili Mh. Rais aendeleze mambo ya msingi yatakayowasaidia wananchi kwa maisha yao ya baadae.