Damian J Ntundagi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2017
- 1,652
- 2,355
Umetumwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atarudi bunge atakuwa amesahau Nini huko? Awamu hii wapinzani watafute biashara nyingine ya kufanya siasa sio issue Tena.
Kilaza ktk ubora wakoJapo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi ambayo hata sisi tusio na chama tunaona jinsi Mh. Raisi wetu kajitahidi sana katika mambo kadhaa ambayo yanaonekana kuwa na tija katika nchi yetu.
Hivyo ni bora hata timu ya kampeni ya CCM ikaamia katika jimbo atakalogombea Ndg. Zitto ilimradi CCM ilipate jimbo hilo kwa ushindi wa kishindo ili Mh. Rais aendeleze mambo ya msingi yatakayowasaidia wananchi kwa maisha yao ya baadae.
Kwa hiyo CCM ndiyo huweka na kuchagua Wabunge wa nchi hii?Huwa tunafanya uchaguzi wa nini ilhali viongozi ni wale ambao CCM inaowaweka?Ama ni Miye ndiyo sijaelewa unamaanisha nini hasa kwa mada yako.Japo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi ambayo hata sisi tusio na chama tunaona jinsi Mh. Raisi wetu kajitahidi sana katika mambo kadhaa ambayo yanaonekana kuwa na tija katika nchi yetu.
Hivyo ni bora hata timu ya kampeni ya CCM ikaamia katika jimbo atakalogombea Ndg. Zitto ilimradi CCM ilipate jimbo hilo kwa ushindi wa kishindo ili Mh. Rais aendeleze mambo ya msingi yatakayowasaidia wananchi kwa maisha yao ya baadae.
Wanatafuta huruma ya Wananchi kwa kushindwa kuwafanyia waliyowaahidi 2015.Eti wanaopinga maovu tufanyiwayo wanakwamisha kasi ya serikali ya awamo ya tank!!!Maneno ya walioshindwa hayo.Kuna kitu gani kizuri ambacho rais alitaka kukifanya akashindwa kwa sababu zitto alipinga???-acha utahira!
Kwa ccm inawezekana mbona Meya limewezekana Waziri mwenye dhamana kimyaaaaJapo mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa ila nakiomba chama cha CCM kilichopo madarakani kufanya kampeni ya haki na yenye nguvu kuhakikisha Ndg. Zitto Kabwe asifanikiwe kupata ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu katika nafasi ya ubunge kwani amekuwa akipinga hata mambo ya msingi ambayo hata sisi tusio na chama tunaona jinsi Mh. Raisi wetu kajitahidi sana katika mambo kadhaa ambayo yanaonekana kuwa na tija katika nchi yetu.