stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
ccm ndo wanaamua vugu vugi liwe vpNakubaliana na wewe ila nyaya zake, Current ni 10,000Amp
ccm ndo wanaamua vugu vugi liwe vpNakubaliana na wewe ila nyaya zake, Current ni 10,000Amp
Chadomo hamuwezi pata nafasi ya kutumika na Beberu hapa TanzaniaBeberu mnae nyie ndani ya chama chenu ndugu yenu A to Z .Anaiba mkaa ambao ni urithi wa wajukuu zenu, migodi mnampa bure, mbuga za wanyama n.k ninyi mnakenua meno ilihali watoto wenu shuleni wanakaa chini kwenye vumbi.
Msikilize Polepole vizuri, kama hujamsikia sema nikutumie clip umjue beberu vizuri.
Endeleeni kugawa raslimali kwa wageni huku watoto wenu hawana ajira, watoto wenu wanakaa chini shuleni huku mkigawa bajaj kwa watu wasio na uhitaji.Chadomo hamuwezi pata nafasi ya kutumika na Beberu hapa Tanzania