CCM fanyeni yote, lakini mtakosa POLITICAL LEGITIMACY mbele ya watanzania na duni nzima kama hamkufanya necessary reforms as proposed by Chadema

Chadomo hamuwezi pata nafasi ya kutumika na Beberu hapa Tanzania
 
Chadomo hamuwezi pata nafasi ya kutumika na Beberu hapa Tanzania
Endeleeni kugawa raslimali kwa wageni huku watoto wenu hawana ajira, watoto wenu wanakaa chini shuleni huku mkigawa bajaj kwa watu wasio na uhitaji.
Ungepita pale hospitali ya Bombo siku moja ungejionea maskini wanavyoteseka kwa kukosa huduma ya tiba huku rasilimali za taifa zinafaidisha wageni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…