Uhuru wamezoeya siasa za maji taka hadi wamejisahau wamejikuta wanamnyoosha mwenyekiti wao wa CCM.Uhuru ndo kusema wameponyokwa na maneno?
Mama anatakiwa awe mjanja sana ashtuke mapema sana hilo genge mbona jepesi ila hayo mambo yake ya 'Hewala si utumwa' kwa kila anachoshauriwa na hao..oohoo.Huu ndo ushahidi huyu mama anahujumiwa. Huu ni ushahidi kuwa hata ndani ya CCM ana upinzani mkali
Asiposhtuka itakula kwake mazima
Laana inawatafuna hawa watu.Nyambafu vyuma vimeumana, Hii ni ishara mbaya kwa Mama