Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Siwachoshi!
Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini!
Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo?
Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya masisiemu yaliyo nyuma ya mgogoro uwongo wa mikataba hii ya kinyonyaji?
Ilikuwaje wadeni hawa wasitudai kipindi cha mvunja mkataba akiwepo?
CCM ina makandokando kibao, sijawahi kuwaamini hata kidogo, tunakumbuka suala la Rada kule Uingereza?
Nani wa kuwaamini masisiemu kwa sasa? Mambo mengi ya hovyo yako CCM, ufisadi usio wa huruma uko CCM, wizi wa kupitia migongo ya wawekezaji kupitia mikataba ya kimagumashi iko CCM, mfano Richmond, Eppa n.k.
Tusikae tu tukabaki na mawazo ya jana, tuwaze leo, CCM haiwezi kuaminika hata kidogo.
Nchi yenyewe inapelekwa mzobamzoba, watashindwa kweli hawa wezi kutujia kwa migongo ya mikataba iliyovunjwa miaka 4 nyuma huko?