Uchaguzi 2020 CCM haikuhitaji kuwa na bango hata moja la kampeni

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.

Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.

Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.

Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
 
Manajiansibu mmefanya mengi lakini bado hamjiamini aisee .

Tume iwe huru basi isiegemee upande mmoja basi

Uwoga wote Wa nn wakati mnasema mefanya mengi.
 
Tulipoamua kufanya kilimo kuwa uti wa mgongo wa taifa letu, tulitakiwa kuweka elimu ya kutosha ya kilimo kiasi cha kuwa na wataalamu wa kilimo walioajiriwaw nchi za nje. Wakulima wetu kulima katika advance level si kwa jembe la mkono. Kuwa wasambazaji wa chakula Afrika.
 
Vodacom na umaarufu wake wanamatangazo kila siku kwa TV na radio na mabango kila siku wanaingeza

Unajufunza nini?
 
Mimi nina laini ya tigo na naitumia lakini bado tigo wananishawishi niendelee kutumia tigo kwa kunitumia sms mfululizo kila siku.
Wanachama wa CCM na wananchi wanashawishiwa na vyama tofauti kupata suport.
hivyo ni lazima CCM ijinadi kwa mabango na maneno ili kura ziongozeke zaidi na maendeleo yaendelee kupatikana.
Kumbuka bila CCM akunamaendeleo.
 
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.

Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.

Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.

Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Ila CCM wanahitaji T-shirt za kuwavalisha watoto kwenye kampeni
 
Wanasema "ya Mungu mengi" hata ccm hayakua mategemeo yao kuwa watakua na mabango, so far katibu mkuu ndg Bashiru alijinasibu na kujimwambafai kuwa safari hii wasanii watafute chama kingine kusaidia kampeni wao ccm watatumia TOT tu, je imewezekana?
Pia Polepole alikua akisema kila mara kwamba mwaka huu hawatafanya kampeni watasubiria uchaguzi tu je imewezekana? si wanapiga magoti bila kupangiwa mambo?
Hapana chezea wananchi wenye hasira kali.

Sent from my TECNO K9 using JamiiForums mobile app
 
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.

Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.

Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.

Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.

Hata mimi nimeshangaa sana serikali ya wanyonge iliyofanya kazi kubwa ya kutukuka inayowajali wanyonge, imetumia billions of money kuweka mabango ya gharama nchi nzima. Siwaelewi kabisa. Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza. Lissu hana hata mabango
 
CCM mwaka huu sio kwamba wanafanya kampeni kwakua kunaushindani wa kisiasa, uo ni utamaduni wa ccm, walikua walifanya kampeni ata kipindi cha chama kimoja enzi za ndio na hapana.
Enzi izo Mbowe akiwa chipkiz wa ccm, Mwaka huu wangeweza kua na kampeni wikitatu kabla ya uchaguzi ila wengine wange tafsiri ni kama dharau kwa wananchi na ni dalili za kubweteka. Ki uhalisia CCM waliposhinda 2015 wamepata bonus ya 2020, uu uchaguzi ulikwisha 2015 saaizi wanakula faida ya kuchagua JPM 2015.
 
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.

Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.

Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.

Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Mm nakaa nanjilinji. KOROSHO zangu ziliporwa nikaambiwa kangomba. Wakati huo nilikuwa nimemaliza chuo nilidunduliza nikaamua ninue KOROSHO ili nipate faida kidogo. Hapo ndege itanisaidiajeee
 
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.

Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.

Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.

Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Mabango vipeperushi tshart kofia nguo zote ni tenda za polepole na katibu mkuu wa CCM, dili lao binafsi la kujipatia pesa maana ccm ni chukua chako mapema kwani walijua upinzani utawasumbua kutokana na udikiteta udhalimu waliowatendea ndani ya miaka mitano
 
Kila tukio nilikuwa linarushwa live tena mengine karibu nusu siku.
Tangu tupate Uhuru ni CCM hii tu ambayo ilipata Muda mwingi wa kuonyesha imefanya nini Kabla ya kampeni kuliko CCM zote.

Mpanga mikakati hii ni hovyo kabisa. Anamuabisha Mh Rais na KAZI zake njema ambazo tunazijua
 
CCM mwaka huu sio kwamba wanafanya kampeni kwakua kunaushindani wa kisiasa, uo ni utamaduni wa ccm, walikua walifanya kampeni ata kipindi cha chama kimoja enzi za ndio na hapana.
Enzi izo Mbowe akiwa chipkiz wa ccm, Mwaka huu wangeweza kua na kampeni wikitatu kabla ya uchaguzi ila wengine wange tafsiri ni kama dharau kwa wananchi na ni dalili za kubweteka. Ki uhalisia CCM waliposhinda 2015 wamepata bonus ya 2020, uu uchaguzi ulikwisha 2015 saaizi wanakula faida ya kuchagua JPM 2015.
hakuna Mtanzania mwenye uelewa ataitaka ccm tena kwani hakuna kitu wamefanya ndani ya miaka mitano zaidi kutumia pesa za walipa kodi kujinufaisha kupitia miradi mikubwa ya kifisadi
 
Unazungumzia mabango tu!

1.Thsirt na kofia bure kwa wanaoenda uwanjani kwenye kampeni!
2.Kukodi malori na mabasi kubeba wananchi!

Pamoja na hayo uliyosema,spana zimekubali mpaka mgombea wako anaomba kura kwa kuwapigia magoti wananchi!
Wewe unazungumzia t-shirt na kofia tuu...yani wakina Mond & co Plus waganga wote wa jadi nchini wapo kwenye msafara wawo
 
Tulipoamua kufanya kilimo kuwa uti wa mgongo wa taifa letu, tulitakiwa kuweka elimu ya kutosha ya kilimo kiasi cha kuwa na wataalamu wa kilimo walioajiriwaw nchi za nje. Wakulima wetu kulima katika advance level si kwa jembe la mkono. Kuwa wasambazaji wa chakula Afrika.
hatuwezi kusema eti Magufuli amefanya mengi wakati tuna mucompare na majizi wenzie MiCCM ....wote have collective responsibility kwa economic hardship of this country wakapumzike simple
 
Unazungumzia mabango tu!

1.Thsirt na kofia bure kwa wanaoenda uwanjani kwenye kampeni!
2.Kukodi malori na mabasi kubeba wananchi!

Pamoja na hayo uliyosema,spana zimekubali mpaka mgombea wako anaomba kura kwa kuwapigia magoti wananchi!
Watumishi wa serikali kulazimishwa kwenda kwenye kampeni
 
Kwa miaka 5 mfululizo CCM imefanya mambo mengi ambayo yangetosha kuwa mabango yao ya kampeni kwenye uchaguzi wa 2020. Kazi zilizofanyika awamu ya tano pia zilijumuishwa kwenye wimbo wa Harmonize unaoelezea mafanikio ya awamu ya tano, na wimbo huu ulitoka mapema sana na kuchezwa kwenye media zote nchini hata kabla tarehe ya uchaguzi haijatangazwa.

Mafanikio ya awamu ya tano yanaonekana kwa macho ya nyama kwa kila mwenye macho, lakini pia yamehubiriwa sana katika kipindi chote cha miaka 5 katika kila mkutano na kila mwenye masikio amesikia. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia. Kusema ukweli sikutegemea kuona mabango mengi tena ya kampeni ili hela za mabango zielekezwe kwenye kitu kingine japo hata kwa kuweka nyasi bandia kwenye viwanja vya CCM ili soka lichezwe kwa ufasaha kwenye viwanja vyote.

Hizi gharama za mabango tena sijui ni nani alizipendekeza, kwangu mimi naona mabango hayakuwa na sababu na hayana mchango kwa kampeni za CCM hasa za Urais, maana mafanikio ya CCM na serikali ya awamu ya tano yalishasemwa sana na viongozi wote wa chama na serikali, hata wanapopiga kampeni wanayarudia tena yale yale ya ndege, reli, bwawa, rushwa, umeme na hospitali.

Au wenzangu JF mnaonaje? Gharama hizi za kutengeneza mabango ulikuwa ni ushauri kutoka kwa nani kwa malengo gani? TAKUKURU hebu pitenipiteni huko pia.
Mabango, kuosha vyombo na kupiga magoti majukwaani yote yanaonesha udhaifu mkubwa wa ccm.
 
Back
Top Bottom