Uchaguzi 2020 CCM haikuhitaji kuwa na bango hata moja la kampeni

Kunywa soda kwa bili yangu
 
Vodacom na umaarufu wake wanamatangazo kila siku kwa TV na radio na mabango kila siku wanaingeza

Unajufunza nini?

Wale wanataka pesa na ni biashara so una maanisha urais ni biashara?
 
mmmh uchaguzi wa serika-li z--a mitaa mbona hawakupiga kampeni wala kuweka mabango?
 
uchaguzi huu ni wa muhimu sana ccm, tuna jambo letu kwenye katiba
 
Yes, uko sawa kabisa mkuu! Tena hakuhitaji hata kutembea kufanya kampeni bali walihitaji kufanya ufafanuzi tu mdogo kwa kile kipindi cha Dakika 45 za Farhia middle! Ajabu ndio wanaohangaika kuliko vyama vyoote!
 
Unazungumzia mabango tu!

1.Thsirt na kofia bure kwa wanaoenda uwanjani kwenye kampeni!
2.Kukodi malori na mabasi kubeba wananchi!

Pamoja na hayo uliyosema,spana zimekubali mpaka mgombea wako anaomba kura kwa kuwapigia magoti wananchi!
Na sasa hapa Kakola wana nunua vitambulisho vya wapiga kura kwa gharama yoyote ili kupunguza kura za Lissu. Wameona kuwapa 5000/ tu haisaidii maana wana pokea wanajaza vichwa uwanjani siku inayo fata wanazipeleka kama sadaka kwa Lissu.
 
Wanyonge Wana Jambo lao. Hizi shule za kata zinaisaidia jamii kupata wapigakura bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…