Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Chama cha Mapinduzi ni chama chenye mikakati, nguvu, uwezo na mipango mingi mnooo, kama kuna mtu anajidanganya kuwa fulani akishinda uenyekiti ndani ya CHADEMA mtakuja kushika dola, ni ujinga wa kiwango cha kimataifa.
Tena mimi natamani sana Lissu, Heche na Lema ndio wawe viongozi wake ili watanzania waone ujinga wao, Msumbiji wamepiga kelele Rais anaapishwa, nyie mtafanya nn zaidi ya kuwalilia jumuiya ya kimataifa